Paul Krugman wins Nobel economics prize

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
ALeqM5j-888utxl3FfbsODEFRPvv_bCtog

Huyu jamaa then earned this award for his contributions to economic theory. Its precisely his technical prowess that gives him the level of credibility he enjoys. He is a "real economist." The mass market books and op-ed columns are just part of his story.

His contributions to international trade theory and economic geography transformed the topic.

I've been looking for this award for several years.
 
Also, he deserves a Pulitzer for his NYTimes columns.

And a gold star for putting Bush's admin in its place.
``Mr. Bush has degraded our government and undermined the rule of law,''
Who else could have put it more congruous?
 
And whats fav Krugman book?
 
GT, lakini huyu na wenzake wengi waekonomia si ndiyo waliotuweka kwenye hii crisis hivi sasa?! Chumi nyingi duniani zimefata mfumo wa Marekani na sasa hivi tumeona makosa mengi tu ambayo yangeweza kabisa kuepukika... si ni ndiyo hawa hawa wa kulaumu au?!
 
SteveD,

Maneno yako yangekuwa na uzito kama angekuwa ameshiriki katika policy making positions kwenye administrations zilizopita.kwa mfano watu kama kina Greenspan, Rubin au Summers wangepewa Nobel ungeweza kusema hivyo. Paul Krugman hakuwahi kuwa na nafasi ya policy making, kwa hiyo anaweza kutohusishwa ma hii quandary.Zaidi ya hapo alikemea sana policies za Bush kama ilivyosemwa hapo juu.

I noticed all the rave was on Friedman and Brooks, but Kruegman emerged as the triumphant laureate.

Paul Krugman - The New York Times
 
And whats fav Krugman book?

Two favs:
Ningesema ''The Return of Depression Economics'' kama US isingekuwa in the current economic situation.That leaves me with ''Fuzzy Math''.
Haven't read ''The Conscience of a Liberal'' bado....sad,I know.
 
GT, lakini huyu na wenzake wengi waekonomia si ndiyo waliotuweka kwenye hii crisis hivi sasa?! Chumi nyingi duniani zimefata mfumo wa Marekani na sasa hivi tumeona makosa mengi tu ambayo yangeweza kabisa kuepukika... si ni ndiyo hawa hawa wa kulaumu au?!

SteveD,

Hapana, huyu mzee theories zake zinafanya kazi. Moja ya theories zake muhimu ni ile ya economies of scale. Inafanya kazi kazi kila sehemu bila kujali ni kwenye ubepari au ujamaa. Wachina sasa wanaitumia mno na kuijaza dunia kwa vitu vyao kwa bei ya chini kabisa. Tatizo tu ni kushuka kwa quality.

Waliotuingiza kwenye haya matatizo ni wale watumiaji wa theories za wachumi ambao baada ya kuona zinafanya kazi wakaanza kuzitumia na kuzidisha ulafi.
 
paul krugman is known for upturning the theory of economic geography in international trade. i.e. it is no longer necessary for countries to have a competitive advantage in order to trade with one another! for example ujerumani inatengeneza magari na kuyauza marekani na marekani nayo inatengeneza magari na kuyauza ujerumani and simila products too! this means consumer appreciation is now a big deal! it is not just making a car lakini ni gari ya aina gani? so as we move in the era of greater product diversity tutaona nchi zilizoendelea zinazidi kufanya biashara among themselves!!!!!

the key in krugman theory lies in greater product diversity and consumer appreciation of that diversity en masse!!

Think about tanzania exporting coffee to kenya and in return importing kenyan coffee. what would be the cause of such an incestous transaction? krugman of course!
 
PRESS CONFERENCE YAKE JANA PALE PRINCETON

[media]http://uk.youtube.com/watch?v=tx6UJ-3oV_w[/media]

ITS GOOD AMEMPA BIG UP jAGDISH bAGWATI
 
Have there ever been African Nobel Laureates in scientific endeavors such as economics, physics, chemistry, medicine, etc? If not why not? Can someone come up with plausible reasons?
 
Tunasubiri ya GT..kwi kwi kwi.......
 
Have there ever been African Nobel Laureates in scientific endeavors such as economics, physics, chemistry, medicine, etc? If not why not? Can someone come up with plausible reasons?

Waafrika wengi hawajapata nishani za Nobel sababu wasomi wengi wa Afrika wengi ni historians.Wanangoja wengine wagundue kitu waandike halafu wao wachukue hivyo vilivyoandikwa na kuanza kuvielezea kwa mbwembwe za msomi bwege.Kila msomi wa kiafrika akitaka kuelezea kitu lazima ataje refference ya kitabu kilichoandikwa na mzungu fulani wa Ulaya au marekani kama siyo ubwege ni nini.Mtu huwezi kichwa chako mwenyewe kikawa refference hadi ufanye refference kichwa cha Mzungu ?

Mfano injinia ,daktari,mchumi,n.k wa kiafrika anachofanya ni kusoma vitabu vilivyopitwa na wakati vya hizo fani walivyoandika wagunduzi wa Ulaya na Marekani na kuvikariri barabara ili afanye vile vitabu alivyosoma vilivyosema.Atang`ang`ania hivyo hadi litoke toleo lingine (NEW EDITION) ya huko kwa wazungu walikogundua! Ndipo naye abadilike na kubadili msimamo na kujifanya msomi wa kisasa mwenye wazo jipya!

Wenzetu Ulaya na Marekani huwa wagunduzi sababu huwa hawaogopi kwenda nje ya maktaba ya vile vitabu walivyosoma vinavyosema .Huwezi kuwa ni mtu mwenye mawazo mapya kama kazi yako ni kukariri tu kazi za vitabu vya wengine .Tunahitaji watu wawezao kuwaza nje ya vitabu pia wakaja na ugunduzi mpya na wao wakawa.

Kazi ya vitabu na shule na vyuo ni kuamsha uwezo wa mawazo mapya.Afrika ni bahati mbaya kuwa msomi hana kazi ya kuwaza mawazo mapya zaidi ya kuelezea mawazo ya vile alivyosoma vya wengine!

Waafrika wana uwezo mkubwa mno wa kukariri iwe biblia,kurani,au vitabu vya fani za sayansi n.k lakini ni wavivu mno wa kufikiri mawazo mapya au kugundua vitu vipya.Ikija kufikiri vitu vipya si ajabu kukuta hata msomi profesa anakuwa ni sifuri.

Mtaalamu mmoja wa filosofia aliwahi kusema kuwa pamoja na elimu rasmi kuwa ni nzuri lakini imeua uwezo wa ugunduzi wa mambo mapya ya mamilioni ya wanadamu waliosoma elimu rasmi hasa katika bara la Afrika.
 
SteveD,

Hapana, huyu mzee theories zake zinafanya kazi. Moja ya theories zake muhimu ni ile ya economies of scale. Inafanya kazi kazi kila sehemu bila kujali ni kwenye ubepari au ujamaa. Wachina sasa wanaitumia mno na kuijaza dunia kwa vitu vyao kwa bei ya chini kabisa. Tatizo tu ni kushuka kwa quality.

Waliotuingiza kwenye haya matatizo ni wale watumiaji wa theories za wachumi ambao baada ya kuona zinafanya kazi wakaanza kuzitumia na kuzidisha ulafi.

Mtanzania, economies of scale ni concept ambayo imekuwepo toka field ya uchumi ilipoanza kutambuliwa rasmi--takribani miaka 300 iliyopita. Naomba unifahamishe mchango wa Paul katika nadharia ya "economies of scale"
 
Waafrika wengi hawajapata nishani za Nobel sababu wasomi wengi wa Afrika wengi ni historians.Wanangoja wengine wagundue kitu waandike halafu wao wachukue hivyo vilivyoandikwa na kuanza kuvielezea kwa mbwembwe za msomi bwege.Kila msomi wa kiafrika akitaka kuelezea kitu lazima ataje refference ya kitabu kilichoandikwa na mzungu fulani wa Ulaya au marekani kama siyo ubwege ni nini.Mtu huwezi kichwa chako mwenyewe kikawa refference hadi ufanye refference kichwa cha Mzungu ?

Mfano injinia ,daktari,mchumi,n.k wa kiafrika anachofanya ni kusoma vitabu vilivyopitwa na wakati vya hizo fani walivyoandika wagunduzi wa Ulaya na Marekani na kuvikariri barabara ili afanye vile vitabu alivyosoma vilivyosema.Atang`ang`ania hivyo hadi litoke toleo lingine (NEW EDITION) ya huko kwa wazungu walikogundua! Ndipo naye abadilike na kubadili msimamo na kujifanya msomi wa kisasa mwenye wazo jipya!

Wenzetu Ulaya na Marekani huwa wagunduzi sababu huwa hawaogopi kwenda nje ya maktaba ya vile vitabu walivyosoma vinavyosema .Huwezi kuwa ni mtu mwenye mawazo mapya kama kazi yako ni kukariri tu kazi za vitabu vya wengine .Tunahitaji watu wawezao kuwaza nje ya vitabu pia wakaja na ugunduzi mpya na wao wakawa.

Kazi ya vitabu na shule na vyuo ni kuamsha uwezo wa mawazo mapya.Afrika ni bahati mbaya kuwa msomi hana kazi ya kuwaza mawazo mapya zaidi ya kuelezea mawazo ya vile alivyosoma vya wengine!

Waafrika wana uwezo mkubwa mno wa kukariri iwe biblia,kurani,au vitabu vya fani za sayansi n.k lakini ni wavivu mno wa kufikiri mawazo mapya au kugundua vitu vipya.Ikija kufikiri vitu vipya si ajabu kukuta hata msomi profesa anakuwa ni sifuri.

Mtaalamu mmoja wa filosofia aliwahi kusema kuwa pamoja na elimu rasmi kuwa ni nzuri lakini imeua uwezo wa ugunduzi wa mambo mapya ya mamilioni ya wanadamu waliosoma elimu rasmi hasa katika bara la Afrika.

Yaani bora umesema wewe maana ningesema mimi ningetukanwa na kuambiwa ninajichukia halafu hayo matusi ningetukanwa kwa kiingereza....

Watu kila kukicha wanamtaja Freud...oh sijui nani....
 
Nakumbukaga kuna siku kwenye interview moja Big O aka Papa Bear "Bill O'reilly" alitaka kumpigaga ndoo huyu mwanauchumi. Si unajua za mzee O'reilly jazba nyiiiingi kama soda akimtetea mzee kichaka wakati mshkaji anapiga madongo yake madogo madogo yaliyokwenda shule. It was funny!!! Its true ukimsikiliza mzee unamuona kamakinika.
 
Kila msomi wa kiafrika akitaka kuelezea kitu lazima ataje refference ya kitabu kilichoandikwa na mzungu fulani wa Ulaya au marekani kama siyo ubwege ni nini.Mtu huwezi kichwa chako mwenyewe kikawa refference hadi ufanye refference kichwa cha Mzungu ?

Ninaweza kukubaliana na wewe katika mengi uliyosema isipokuwa on the part quoted above.

Ninaamini kuwa kureference paper au kitabu kilichoandikwa na mtu mwingine is crucial in backing up one's findings and has nothing whatsoever,to do with one's failure to be creative.Kwa mfano,kama unaclaim kugundua theory mpya on how one's nick name reflects his ability to analyze opinions different from his stand point,ni vizuri ukaonyesha proof kwamba hakuna mtu mwingine ambaye ameshaelezea theory kama hiyo.In reality,wanakuwepo na ideas zao zinaweza kutofautiana na za kwako kwa kiasi fulani,you need to show the difference by making a comparisons between the two.Katika kufanya hivyo ni lazima ufanye referencing ya kazi ya huyo mwandishi mwingine.

Waafrika kureference kazi za watu wa magharibi,not acceptable to you,I get it.Vipi kuhusu waafrika kureference kazi za waafrika wenzao?What difference does it make as far as being ''creative'' is concerned?
 
Kuwa mgunduzi wa kitu kipya ni tofauti na kuwa mboreshaji wa kitu cha zamani au mtengeneza kitu kinachofanana na cha zamani ambacho kilishagunduliwa.Ukitaka kuboresha kitu cha zamani au kutengeneza kitu kinachofanana na cha zamani au kukiboresha unahitaji kufanya reference ya hivyo vya zamani vikiwemo maandiko yao .Kwa sehemu hii nakubaliana nawe na hilo ndilo eneo ambalo waafrika wengi wasomi wanaliweza na wamekubuhu na kulifanya ndio sehemu ya kudumu ya maisha na usomi wao.

Ninaolongelea mimi ni wale wabunifu wa vitu vipya na mambo mapya ambao hawahitaji reference kwenye kichwa chochote cha mtu mwingine awe mzungu au mwafrika wanapobuni vitu vyao vipya.Waafrika kwenye eneo hili ndio tuko nyuma sana ukilinganisha na Ulaya na Marekani.Hata wachina na wahindi sasa wameanza kutuacha mbali katika ugunduzi baada ya wao kugundua makosa yao na kuanza kuvitumia vichwa vyao barabara katika ugunduzi badala ya kukesha maktaba kufanya reference za watu wengine kama wasomi wa kitanzania walivyojijengea mazingira ya kubobea kwenye reference wakiwa hawana lao jipya la ugunduzi mpya.
 
Mhhh!This is new.
I am probably the one out of touch but,will you happen to have any scholarly paper or article without references that you can show us?
 
Back
Top Bottom