Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,819
- 8,884
sasa sisi tanzania tumvamie nani na to plunder
dhahabu za nani?
maendeleo ya rwanda yanayozungumziwa hapa
yamekuja kwa cost gani na ya aina gani? au ndio
masuala ya " the end justifies the means"?
inawezekana kagame kafanya mazuri kwa nchi
yake lakini hili la kuwa role model sidhani kama ni sawa.
Huhitaji kuiba wala ku-plunder mkuu..Dhahabu umeikalia, tena si dhahabu tuu..hata Tanzanite, Almasi name them.....unavigawa bure vinajazwa kwenye makontainer unaviona......vinaenda kupakuliwa Antwerp....habari ndiyo hiyo!