Patriot

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
Hivi jana nilikutana na mtu mmoja akaniuliza kama kweli watanzania wanaipenda nchi yao kwanini wanaficha ID zao kwenye JF. Akadai unapoamua kuwa patriot utakiwi kujificha mnasemaje wana JF je hoja yake ina nguvu

if u wanna be patriot disclose urslef
 
God bless tanzania,...........hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom