Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,950
- 711
Mcheza Sinema maarufu nchini marekani Bw. Patrick Swayze amefariki dunia muda si mrefu. Kwa kumbukumbu za haraka huyu jamaa alikuwa anasumbuliwa na Pancreatic Cancer lakini mpaka sasa bado haijajulikana.
Swayze aliwahi kucheza kwenye movie Dirt Dance na Ghost
Mungu ailaze roho yake mahali pema.
Source: AP