Patrick orchan the bomb

bandubandu

Senior Member
Dec 19, 2010
102
28
Nilibahatika kuangalia mechi ya simba na tp mazembe pale uwanja wa Taifa,kwa kweli pamoja na simba kufungwa lkn nilikuwa na furaha kubwa sana cku ile kutokana na na performance iliyoonyeshwa na baadhi ya wachezaji wa simba kama patrick Orchan,Mbwana Samata na Emanuel Okwi,Patrick Orchan ni mchezaji wa aina ya peke yake,kwangu mm huyu ndiye aliyekuwa nyota wa mchezo ule,uwezo mkubwa alionao wa control,kumiliki mpira kupiga pasi zinazofika ilikuwa ni burudani tosha kumtazama kila alipogusa mpira.
 
Kiukweli Ochan nilianza kumpa Marks kwa mara ya kwanza nilipomuona Taifa dhidi ya Yanga............kinachomsaidia confidence kitu ambacho players wetu wengi wanakosa

He can do everything with the ball bila hofu japo tatizo pekee ni uzito ambao pia kwa sehemu fulani humuathiri kuwa mwepesi kutoa pasi kwenye nafasi sahihi
 
walewale kufungwa twafungwa lakini chenga twawala. mpira magori not otherwise.
Matokeo si kila kitu kwenye soka. Mpira ni matokeo, biashara, burudani, kuuza wachezaji wetu na kuwakuza kisoka na mengine mengi. Big up to Ochan, Samata, Okwi, Maftah na Simba kwa ujumla. Kiwango kizuri na mechi ilikuwa na ushindani. Makosa ya mabeki ni ya kufanyia kazi. Mazembe pia wamevutiwa na hao wachezaji na watajaribu kuwafuatilia hasa samata ambaye bado ana umri mdogo.
 
mimi nadhani hata Jerry Santo alicheza vizuri.............hii inaashiria umuhimu wa foreign players na chachu yao kwenye local league........sasa cha ajabu t tiiefuefu hawataki waje wacheze hapa kwetu...........Tenga duinia ni kijiji sikuhizi.......hivi nyinyi mpo wapi?????????????
 
Wachezaji wa nje wanachangia sana mafanikio ya soka kwenye klabu zetu pale Simba kuna Okwi,Ochani na yule beki ambaye ni majeruhi.Wachezaji wa bongo hawana chochote ndio maana ni wachache wanaocheza nje ya bongo
 
Wachezaji wa nje wanachangia sana mafanikio ya soka kwenye klabu zetu pale Simba kuna Okwi,Ochani na yule beki ambaye ni majeruhi.Wachezaji wa bongo hawana chochote ndio maana ni wachache wanaocheza nje ya bongo
Ni kweli wachezaji wa nje wana ssaidia sana timu zetu lakini kwenye timu zilizo makini kama simba....angalia ndugu zetuyanga wallisha wahi kusajili wachezaji wa nje 11 na hawakuwasaidia kitu...simba inaona watano lakini angalia mchango wao na nina kuhakikishia kama Joseph Owwino na Hillary Echessa wasingekuwa majeruhi matokeo yasingekuwa 6-3...Pengo na Owino limeonekana pale nyuma
 
Back
Top Bottom