Patrick Ngowi yupo quite different na vijana wengine wa umri wake

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,631
Hello guys

Kwa mnaofuatilia vizur patrick ngowi alivokuwa na miaka 27 aliingia kwenye forbes africa under 30 list huku kampuni zake za solar ikiwa na revenue ya 2million usd kwa mwaka, akaitwa kwenye interview za mboni talk show na the scoop. so he was quite a celebrity.

Pamoja na hayo jamaa sijaona akishobokea mademu wakali wa bongo movie, wala kuonesha burungu za hela au kula bata kwenye social media, jamaa yupo kiofisi ofisi zaidi.

Akina idriss walivoshinda 300,000usd walisumbua hapa mjini, majjizo baada ya kupata mafanikio kidogo keshaanza kumdate lulu, dallas baada ya kupata mabilioni ya shillingi yoote yaliishia kwa wolper na gold diggers.

Nadhani patrick ngowi ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sisi vijana.
 
Hela ya kutafuta kwa jasho ni yofauti na hela ya jackpot bingo kama ya idris au pesa ya kusuka mikeka au pesa ya poda/ngada
 
Hello guys

Kwa mnaofuatilia vizur patrick ngowi alivokuwa na miaka 27 aliingia kwenye forbes africa under 30 list huku kampuni zake za solar ikiwa na revenue ya 2million usd kwa mwaka, akaitwa kwenye interview za mboni talk show na the scoop. so he was quite a celebrity.

Pamoja na hayo jamaa sijaona akishobokea mademu wakali wa bongo movie, wala kuonesha burungu za hela au kula bata kwenye social media, jamaa yupo kiofisi ofisi zaidi.

Akina idriss walivoshinda 300,000usd walisumbua hapa mjini, majjizo baada ya kupata mafanikio kidogo keshaanza kumdate lulu, dallas baada ya kupata mabilioni ya shillingi yoote yaliishia kwa wolper na gold diggers.

Nadhani patrick ngowi ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sisi vijana.
N who is Dallas?
 
Hatumii kichwa kwa ajili ya kufugia nywele.
Halafu kahaso kutoka kuuza vocha mpaka kumiliki kampuni.
 
Back
Top Bottom