Patrick Mafisango Dead: Former Rwanda Soccer Captain Dies In Car Crash.

mbui ilemba olii mpwa wake mafisango aliyekuwa akiishi naye vilevile atasindikiza mwili wa malehemu to kinshasa. kwa upande wa media ni clouds fm na tv ndo wamepeleka muakilishi kinshasa. vilevile haruna moshi boban ndo atawakilisha wachezaji wenzake kinshasa.
Bus la Azamu fc limeleta maji hapa ttc club kwa ajili ya waombolezaji.
Wakina mama wanakosa uvumilivu na kuangua vilio vya Nguvu.
watu wanaendelea kupungua. sasa hivi naona walio kwenye msitali ni kama elfu nne tu.

Hao Azam wanawaletea Maji je Mmekula Chakula?
 
Chondechonde mkuu,usiweke picha ya mwili wa marehemu hapa,maana ni makosa makubwa kwa M/mungu na kwa maiti yenyewe kuidhalilisha.

Kitabu gani cha dini kinakataza na kusema ni makosa makubwa kuweka picha ya marehemu ktk mtandao, kwani kufanya hivyo ni kumdhalilisha?

Au huyo Mungu ni yupi?
Hivi wabongo lini mtaachana na porojo na maneno yasiyofaa mnayo msingizia Mungu?
 
Kocha wa simba yupo hapa na uvimilivu umemshanda kadondosha machozi. anasema hawezi kuongea chochote kwa leo.
Mafisango alikuwa kashasign mkataba mpya kabla ya maandalizi ya kurudi kwao.
Dah!. hiki kifo kimeniumiza sana sijui kwanini. Angekufa nsajigwa nisingelia hivi. R.I.P Mafisango. AMEZIKWA LEO - CONGO.
 
Kwa kweli inauma sana,
vijana wadogo wanajitahidi na maisha lakini
miaka yao ya kuishi inakuwa michache sana,
R.I.P Mafisango.
 
Dah!. hiki kifo kimeniumiza sana sijui kwanini. Angekufa nsajigwa nisingelia hivi. R.I.P Mafisango. AMEZIKWA LEO - CONGO.
Pamoja msiba,lakini umekuzwa sana. N naomba kutofat=utiana na wengi,inakuwaje mchezaji aliyekufa kwa ulevi na kacheza kwa msimu mmoja/2 eti jezi yake inaondolewa klabuni?Is he a legend?sidhani.
 
AP | May 17, 2012 12:38:29

ARUSHA, Tanzania (AP) Former
Rwanda soccer captain Patrick
Mafisango has died in a car crash in
Tanzania. He was 32. Mafisango's death early Thursday was confirmed by his champion Tanzanian team, Simba Sports Club.
State television station TBC said the car Mafisango was driving crashed into a tree in Dar es Salaam, the country's
main city and commercial capital. Four
passengers reportedly survived. Mafisango, a midfielder,had been
selected to play for Rwanda in next
month's World Cup qualifier against
Algeria. Simba Sports club says Mafisango's body would be flown to neighboring Congo,where he was born,for burial.

It is a big loss to all soccer fans R.I.P Patrick Mutesa Mafisango.
Miaka 9 sasa! Endelea kupumzika kwa mani Patii
 
Back
Top Bottom