Patrick Mafisango Dead: Former Rwanda Soccer Captain Dies In Car Crash.

ukweli ni kwamba watu wanazidi kuongezeka. kwa wale wa Ubungo ili ufike inabidi ushukie serengeti then upande magari ya k/koo au mwenge ushuke ttc club au maduka mawili. vile vile ukishafika serengeti unaweza ukatembea ni kama dakika sita. asilimia kubwa ya wachezaji wa simba wapo hapa na baadhi ya wachezaji wa yanga. vilevile wakongo wapo wengi.
 
Kavunja record ya "KANUMBA"?????

mkuu sijajua kama walio kuja walikuwa na lengo la kuvunja record.
Ikumbukwe mafisango ndo alifunga goli la tano katika mechi ya juzi ya tano bila.
Asilimia kubwa ya watu wamesha aga lakini sasa hivi ndo wanaleta kikapu na kuweka karibu na jeneza ili atakaye aga aweke chochote. hapa naona wamejichanganya. hii ilibidi waiweke mwanzoni hata kabla waandishi wa habari hawajaaga.
 
spika mstaafu samwel sitta yupo hapa katoa rambilambi ya laki mbili. samwel sitta ana kadi ya simba namba sita.
Mafisango ndo aliyefunga goli la kwanza la simba msimu ulipo anza na ndiye kafunga goli la mwisho msimu ulipo isha. so ndo alifungua na kufunga dimba kwa magoli.
Makongoro mahanga kachangia laki moja.
sasa hivi umewekwa wimbo wa kanumba"nimeyainua macho yangu nitazame milima..maisha haya duniani yatawale wewe..".
 
Kombe la vodacom ambalo simba wamelipata msimu huu limewekwa karibu na jeneza la Mafisango.
 
mkuu sijajua kama walio kuja walikuwa na lengo la kuvunja record.
Ikumbukwe mafisango ndo alifunga goli la tano katika mechi ya juzi ya tano bila.
Asilimia kubwa ya watu wamesha aga lakini sasa hivi ndo wanaleta kikapu na kuweka karibu na jeneza ili atakaye aga aweke chochote. hapa naona wamejichanganya. hii ilibidi waiweke mwanzoni hata kabla waandishi wa habari hawajaaga.
Sasa mambo ya goli la tano tena yanatoka wapi mkuu?
 
duh, thx kwa update mkuu dubu! alazwe pema peponi comrade mutesa mafisango.
haijakaa byee kabisa ww kuondoka wkt cmba yakuhitaji
 
Kocha wa simba yupo hapa na uvimilivu umemshanda kadondosha machozi. anasema hawezi kuongea chochote kwa leo.
Mafisango alikuwa kashasign mkataba mpya kabla ya maandalizi ya kurudi kwao.
 
Jembe letu tunakulilia, hakika namba sita kwa timu yetu ya Simba ilipata mtu kiungo makini, hapa karibia machozi yananitoka, mkuu dubu asante kwa update unazotuwekea, tangulia mpendwa wetu Patrick Mutesa Mafisango.
 
mkuu sijajua kama walio kuja walikuwa na lengo la kuvunja record.
Ikumbukwe mafisango ndo alifunga goli la tano katika mechi ya juzi ya tano bila.
Asilimia kubwa ya watu wamesha aga lakini sasa hivi ndo wanaleta kikapu na kuweka karibu na jeneza ili atakaye aga aweke chochote. hapa naona wamejichanganya. hii ilibidi waiweke mwanzoni hata kabla waandishi wa habari hawajaaga.
Sasa mambo ya goli la tano tena yanatoka wapi mkuu?
 
wanachama wa simba Arusha wametuma mchango wa rambirambi wa laki2 kwa tigo pesa. vilevile gazeti la mwanasport limetoa mchango wa rambirambi tsh laki moja. vile vile gazeti la mwanasport limempeleka M. michael akareport mazishi yatakavyo endelea huko kinshasa.
UPDP chama kinacho ongozwa na Ruvutwa kimetuma salamu za lambi lambi kwa simba.
 
Kuna mwanasiasa yeyote kaja kuaga mwili? R.I.P Mutessa Mafisango, URAGIIYE TULAKUSHAAKA
 
mbui ilemba olii mpwa wake mafisango aliyekuwa akiishi naye vilevile atasindikiza mwili wa malehemu to kinshasa. kwa upande wa media ni clouds fm na tv ndo wamepeleka muakilishi kinshasa. vilevile haruna moshi boban ndo atawakilisha wachezaji wenzake kinshasa.
Bus la Azamu fc limeleta maji hapa ttc club kwa ajili ya waombolezaji.
Wakina mama wanakosa uvumilivu na kuangua vilio vya Nguvu.
watu wanaendelea kupungua. sasa hivi naona walio kwenye msitali ni kama elfu nne tu.
 
Back
Top Bottom