Patashika!!

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Noma ni pale unapotumia cheo kumzidi mtu kete, noma zaidi ni pale na yeye ana kigezo cha kukubana pumzi na ukanywea, patamu teh teh teh!
 
Attachments

  • ugonjwa.jpg
    ugonjwa.jpg
    82.6 KB · Views: 591
attachment.php

Noma ni pale unapotumia cheo kumzidi mtu kete, noma zaidi ni pale na yeye ana kigezo cha kukubana pumzi na ukanywea, patamu teh teh teh!

Hii ni kweli inatokea mara kwa mara. Ni kwa sababu baadhi ya walimu wa siku hizi wamekosa maadili na wakati huo huo wanafunzi nao wanaendekeza mapenzi zaidi kuliko shule! Jamii ina kazi kwa kweli kutoa elimu ya utambuzi!
 
Enz zetu wakati hili Gonjwa halijatua duniani ndiyo ulikuwa mchezo pale UDSM? Yaani kiasi kwamba wengi walikuwa wanakimblia IDM (now Mzumbe University) kama tu girlfriend wako atakuwa mlimani. Ilikuwa ni disco tu hasa kwa wanaume waliokuwa na marafiki ambao nao lecturers wanatafuta maana walikuwa ni wachache mno!!! Enzi za maziwa ndani ya bomba with balanced diet!!! Na chai saa kumi!!! Kweli tumetoka mbali kwa sasa mtu wa chuo anakula kwa mama ntilie!!!! Akili itakuwa muda gani wakati unakula ugali na wali umewekwa hamira? Tunadidimia!!
 
Kwa kweli hapo lazima umkumbuke Nyerere wewe!!
 
Back
Top Bottom