Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemshauri vizuri, ila mipapai 2000 zitakaa ktk eneo la hector 2 na zaidi kwa spacing ya mita 3kwa 3 na 4 kwa 4 ni zaidi ya hector hizoNaona upo kimya mkuu ila ningekushauri utafute mbegu ambayo inavumilia kupata ugongwa hasa wa virus wanaoitwa rig worms, kama ni kwa biashara tafuta mipapai inayozaa mapapai mengi ili ikupatie mapapai 3 kwa wiki kila mche mmoja i.e 3 papaya per tree assume you have 2000 trees you will have 6000 papaya uza bei ya chini shs 300 kwa papaya moja!

kilimo cha matunda ni kizuri sana, mimi nimeanzisha langu la miembe dodo mwaka jana kama ekari 10 nashukuru Mungu linaendelea vizuri japo kuna wahuni wananingolea miche shambani. watu bhana sina hamu nao, nimetoka kidogo nyuma huku wanangoa..Papai
Kwa hiyo unashauri tufuge kwanza?Kweli kilimo kwanza kigumu na hakitekelezeki!
ntaanza kuifanyia kazi home niijaribu then ikiwork intaifanya kibiashara zaidi, thanks for info.
Kwaiyo umepanda zipi?Leta mrejesho mpendwa. Mimi nimefanya majaribio nyumbani, na sasa nimeotesha miche 100 shambani tayari kwa kuanza mradi. Nitaangalia hiyo 100 itakavyokuwa halafu nikimudu nitaongeza miche baadae. Ila nimeanza na mbegu za kawaida ambazo zinadumu pia, zinachelewa kutepeta - ganda ni gumu. Za kisasa nimepata kidogo ziko ghali sana madukani na niliwahi pata pakti zimesagika zimo 2 tu. Huu uzi umenisaidia sana. Asanteni.