Pata ushahidi na habari zaidi za kwa BABU

thank for the documentary mkuu tumeona hali halisi ya huko
 
Hawa ni wakenya au? Imagine waandishi wetu wa habari wameshindwa kutuwekea vitu kama hivi na hata kufanya follow up ya hao wanaoenda huko na kudai wamepata uponyaji baada ya kukaa hizo siku Babu anazodai wakikaa basi watakuwa wamepona. Is it a political plot or what? Watakuja na visingizio kibao ooh hakuna anayekubali mbona hawa Wakenya atleast wametoa something ambayo ukiwa makini you could see if that thing works according to the hearsays and promotions we have been receiving here in JF.

Watanzania let our desparation of whatever kind be it political or health takes us to a point where all of us can be grouped like animals and not personalities. Its a communal sin to use ones' problems to fufil our selfish motives; God have mercy on us! Its pure demonic and something from the pit of hell please let us spare our fellow country men who atleast need hope for them to continue with life after so many years of suffering and anguish. Naamaanisha wangepewa at least rapid researched information they could be in a position to make a right decision. Imagine what could happen to them when what they expected could not happen with their ill situations? Is that not going to by itself be another added pain into what they already are going through?
 
Back
Top Bottom