Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,476
- 4,250
Wakuu,
Kwa kuwa hivi sasa tuko katika wakati mgumu katika historia ya Danganyika kwenye suala la kupata umeme wa uhakika na ukizingatia tena bado tunatakiwa kuchangishwa zaidi (kupitia ongezeko la bei ya umeme!!) ili kuwalipa mafisadi wa Dowans a.k.a Ndowano.
Nimeona ni wakati muafaka wa ku-share nanyi namna ya kujitengenezea umeme wetu wa uhakika na bure hapo nyumbani na hata pia kuwauzia TANESCO kwa kutumia teknolojia (sio solar au upepo) ya sumaku.
Teknolojia hii ilivumbuliwa na bwana Nikolai Tesla miaka mingi sana iliypita lakini ilifichwa chini ya makabrasha na wakuu kutokana na ubinafsi wao. Gharama ni kununua kitabu pamoja na vifaa kwa ajili ya kuijenga hiyo generator yako ya sumaku.
Kwa maelezo zaidi soma hizo links hapa chini:
Tesla generator - Learn how to build your own Tesla Generator!
Nikola Tesla Secret - Exposing Tesla's "FREE Energy" Device
TESLA free energy generator
BTW
Nitajitahidi kukiweka hicho kitabu hapa muda si mrefu...