Nauza 680 tu mkuu...mpyaaa na kila kitu
Ninayo mkuu note 3 mpya kabsa bei 350 kama unahtaji niPMNot3 samsung bei gani?
Mkuu vp bado mzigo haujaingia?Kiongoz, hizo Huawei Honor zmeisha aysee..had next week
Bei gani tecno phantom six? Namba yako nimeichukua nitakutafuta.Ipo mkuu...nichek 0654776976
Kwani cm kali zikoje? Kama Galaxy s6 sio simu Kali ipi sasa ni cm Kali?Mbona simu za kawaida na wala sio kali kama tangazo linavyo sema?
Huwa unaziuza kwa bei gani?mzgo upo chief...ila hizo honor ndio hazjaja