Pata Samsung C3303K

kholo

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
413
75
habar zenu wanajamvi, nauza simu yangu aina ya samsung, model C3303K touch-screen. Bado ni mpya, chaji kwa matumiz ya kawaida ni siku 4-5, na bei ni 90,000, kuna mazungumzo
 
Kula 70 kk, nimtume mtu aje kukupa sasa hvi huko ukonga.
 
habar zenu wanajamvi, nauza simu yangu aina ya samsung, model C3303K touch-screen. Bado ni mpya, chaji kwa matumiz ya kawaida ni siku 4-5, na bei ni 90,000, kuna mazungumzo

weka picha zake basi tuone km bado ipo'order!!?
 
Attachments

  • Samsung-001.jpg
    Samsung-001.jpg
    22.6 KB · Views: 34
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom