Pata kitu eee pad transformer 101

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,243
Easy,Exciting,Exciting pad transformer
16GB,1.2M/5M Camera
ANDROID WW,MOBILE,2CELL3300
Contact:0712054592,0789597300
 
Tsh ngapi ,mambo ya kupiga simu ni kupoteza hela na wakati weka mambo hadharani,utapigiwa simu ngapi bana?
 
Ungeweka bei, picha na unapopatika.
Hamna haja ya kuchezea pesa kukupigia alafu mtu aje kugundua bei haiwezi au uko mbali sana na alipo yeye.
 
hao ni kama mbwa mwitu!! huwa wanabweka ili wasikike tu sio kama kuna kitu wanataka au jambo la maana!! ;-)
 
Hiyo eepad nadhani ni hizi laptop ambazo hazina makalio (kama ipad) sasa jamaa sijui kapotelea wapi?
 
hao ni kama mbwa mwitu!! huwa wanabweka ili wasikike tu sio kama kuna kitu wanataka au jambo la maana!! ;-)

Hah hah umenichekesha kweli au ni kama mbweha baada ya kula karanga gharani na kupata shibe akaomba abweke kidogo mwishowe akanogewa akaanza kubweka kwa sauti kubwa hadi mwenye ghala la karanga akashituka sasa hawa wasiotaja bei nao wanataka wajulikane kama nao wapo JF
 
Kama ulikuwepo!! na wengine hao tena huweka namba ya simu halafu piga uone kama itapokelewa!! inakuwa kama enzi zilee hizi mobile zilivyoingia, mtu anakuomba umpigie ili watu waone naye analo pisi lake la Mshindi!!
wamefanya vizuri tulianzia na yale mapisi ya mshindi tungeanza mobile na Iphone sijui ingekuaje!!??
napita tuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom