Pata Kazi UN hii hapa!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wadau kama kawaida kitu hiki hapa!
1. Project Manager – Democratic Empowerment Project - P4 - https://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=36200
2. Operations Manager- Democratic Empowerment Project- P4 https://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=36194

3. Chief Technical Advisor – Democratic Empowerment Project – P5 https://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=36199

FAO Professional Vacancy Announcement Senior Statistician P5

Please find below a link to FAO Professional Vacancy Announcement 'Senior Statistician' P5.

Thank you for your interest in FAO Vacancies, please ensure that staff are informed.

English URL: http://www.fao.org/fileadmin/user_upload/VA/pdf/IRC2303e.pdf

French URL: http://www.fao.org/fileadmin/user_upload/VA/pdf/IRC2303f.pdf

Spanish URL: http://www.fao.org/fileadmin/user_upload/VA/pdf/IRC2303s.pdf

Regards
The Food and Agriculture Organization of the United Nations

*FAO Professional Vacancy Announcements are also available at the following internet address: http://www.fao.org/VA/vac_en.htm

**For any changes in contact information or focal points please send an email with relevant information to: mailto:FAO-Vacancies@fao.org

Best regards
 
YESU alishawahi kumpatia mtu kazi UN
SOURCE JF 7 MARCH 2013 BY itahwa jukwaa la kazi na tenda
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza yawezekana mimi sijakuelewa je hilo hiyo kazi umeipatia humu JF??kama jamaa alivyo uliza kama kuna mtu alishawahi kupata kazi UN??
sio mimi mkuu! kuna jamaa anajiita itahwa hapaJF alitoa ushuhuda kuwa YESU alimsaidia kupata kazi UN! sasa mimi nilikuwa na nukuu kwa reference tu! soma vizuri hiyo link ya kwanza niliyopost
 
Last edited by a moderator:
sio mimi mkuu! kuna jamaa anajiita itahwa hapaJF alitoa ushuhuda kuwa YESU alimsaidia kupata kazi UN! sasa mimi nilikuwa na nukuu kwa reference tu! soma vizuri hiyo link ya kwanza niliyopost

Mimi nilijisikia raha na faraja baada yakuja mtu nakuniambia nimepata kazi UN kwa tangazo uliloliweka!!Alikuwa anahishi Austraria akaliona bahati nzuri alikuwa amekuja jumla tanzania aliomba kazi akiwa nje kufika tu TZ akaitwa kwenye interview nakufanikiwa kupata kazi baadae akanipim nakusema nimepata kazi kutokana na tangazo lako na kwa sasa nipo kazini ikabidi nijiulize huyu mtu ninani nikauli kwa watu waliokuwa recruited je kuna mtu aliona kazi JF akajitokeza na kwasas tupo wote office moja!Maisha yanendelea!
 
KakaKiiza kushukuru ni jambo jema hasa kwa member wa jf wanaojitahidi kuweka matangazo ya kazi,ata mimi kibarua nilipata baada ya kusoma tangazo hapa JF! ipo siku nikipata muda nitalitafuta hilo tangazo na kuli link hapa na kumpa shukrani mleta hiyo thread! maana watu huwa hatukumbuki tulikotoka
 
Nikweli kabisi bora mtu anajisikia poa
CC, Tulizo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom