Pata huduma ya umeme wa Solar kwa mahitaji yako

ageco

New Member
Feb 25, 2015
1
0
Kampuni ya Ageco Energy inatoa huduma bora ya umeme wa jua (solar) kwa bei nafuu kabisa. Bidhaa zetu ni za ubora maridadi na zinafungwa na mafundi wenye ustadi mkubwa. Tunafunga umeme wa sola kwa wateja wasio na umeme wa Tanesco, lakini pia tunafunga power backup kwa wateja waliochoka na kukatika kwa umeme wa tanesco mara kwa mara.

Pia wale wanaotaka kuachana na umeme wa tanesco kabisa nao tunaweza kuwafungia sola ili waepukane na gharama kubwa na kutokuwepo kwa uhakika wa umeme. Huduma zetu zingine ni pamoja na solar water heaters, solar water pumps, solar street lights, solar lamps/lanterns n.k

Tuko Kariakoo karibu na hotel ya Dar City Palace kwenye makutano ya mtaa wa kongo na mtaa wa kibambawe. Tupigie simu 0758-733333 au 0652-222064 kwa maelezo zaidi. Unaweza pia kutuma email: info@agecoenergy.com au tembelea tovuti yetu Home.

Karibu tubadilishe nchi na dunia kwa kutumia "nishati ya kijani.
 
Je ina gharama kiasi gani kufunga kwa ajili ya nyumba nzima isiyotumia tanesco (averagely inagharimu shillingi ngapi?)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom