Pata generator kwa bei poa

Water pump ya 2 hp inaweza kuendeshwa na generator ya kva ngapi? Na unauza bei gani?
 
Wadau mzigo tunao wa kutosha, hasa wale wanaohtaji mashine za kuoshea magari.
 
mkuu...mimi shida yangu ni pump....ya kuvutia maji...shida yangu ni iwe na uwezo wa kusukuma maji kutoka kwenye chanzo kwenda umbali wa zaidi ya vijiji sita hadi saba...ambavyo vipo kwenye miinuko...nitafurahi kama utaniwezesha kupata bei mapema iwezekanavyo ili nikutafute tuje tufanye biashara.
 
Nimekupata Ndg, kwetu hatuna ila kuna mchina nitakuunganisha nae kazi yake ni kuagiza vitu kulingana na mahitaji ya watu. Mfano kuna aina nyingi ya mashine ambazo huwezi kuzikuta madukani, kama vile mashine za kusindika. Hivyo wewe una order mashine kulingana na hitaji lako.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom