Pata free tv stations zaidi ya 200 free of charge!!

Ninachoelewa ni kwamba hizo tv ni bure,lakini internet charge ni lazima zitakuwepo kwa muda utakaokuwa hewani,KWA HIYO 20kb Kwa 24hrs! Haiwezekani. Hzo zinakutosha kwa dakika chache tu,lets say 6 hvi.
 
sio kwa 20 kb hicho ki2 hakipo kwa taarifa yako mkuu alimaanisha transfer rate kuwa ni 20 kb/s ambayo ni average ya 1mb kwa dakika ambayo itakuwa kitu kama unatumia mb 60 kwa saa moja aka 1.2 gb kwa masaa 24
 
Nimedownload TVU 2.5.0.1 na ku-install hiyo software kwenye windows 7 64bit, inakataa kufungua. Inaonekana kama haiko stable!
 
Ebwana e! Sijuagi kama unaweza kucherk tv bila computer yako kuwa tv card. Hayo ya internet ndo kwanza sijawahigi kuyafanyia kazi, mambo ya ngoswe wachenigi tumwachiage ngoswe mwenyewe.
 
Tv zenyewe za kichina bwana? Nimeangalia, nimeinstall. Nikaenda kusearch tv za bongo. Kuweka star tv ya diallo, imekuja star tv ya kichina.
 
Nime download na kujaribu....poa kiasi na haina ku stuck.......natumia Airtel kwa bundle ya 2500
Low quality, but due it's free it worth watching
Nilikuwa na MB 225 nikaangalia kwa dakika 3......salio MB 215

Asante kwa kumuumbua
 
nimeistall sasa hivi naangalia sky newz live lakin inascratch sijui tatizo ni nini... msaada kama kuna kitu natakiwa kuinstall
 
Back
Top Bottom