Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Changanya majani ya witch Hazel Leaf (gram mia nanne, 800 grams) na majani ya Horse Chestnut Leaf (gram mia mbili, 200 grams) na tangawizi (gram mia, 100 grams). Weka maji vikombe viwili vya chai, kisha ziponde Kwenye Kinu mpaka vilainike. Kunguta (filter with a sieve/serviett or some good filtration system) upate juice (utomvu). Kama machanganyiko aya ni chungu sana, unaweza kuweka kijoko kimoja cha chai ya Asali . Tumia vijiko viwili (vya chai) ya juice kila siku: Kijiko moja asubuhi na kijiko moja jioni.

Witch Hazel Leaf
Is renowned as one of the most effective herbs for vascular problems. Witch Hazel is a natural astringent and is known to reduce swelling and inflammation caused by hemorrhoids. Only the most effective part of the plant, the leaf, is used in Hem-Relief.

Horse Chestnut Leaf
Arguably the most well known and well researched herb in the treatment of hemorrhoids. Studies show that Horse Chestnut, especially the leaf, is highly effective at improving circulation, reducing swelling and inflammation, and healing and strengthening damaged vascular tissue.

Ginger Root
Extremely well known as a digestive aid. Ginger has been used in medicine since ancient times and is known for its antioxidant and anti-microbial properties and can be very soothing to the digestive tract.
 
Hey KN in the mean time wkt unafikiria fikiria kwenda kwa daktari you can just go for ANUSOL they are easily available in almost all major pharmacies. They are available in creams, ointments, and the suppositories. The results are usually instant and you will immediately be relieved.

Kwa kuanzia go with supeppositories ambazo ni kama viji-cones . Maelekezo utapata huko huko pharmacy. (Kumbuka kutoa cover kabla ya kutumia). Thereafter go with creams/ ointments
.
 
Heshima mbele wa JF. na kazi yangu (demu) moja inatatizo sehemu za uke, maeneo tukufu yameota vinyama nyama ambavyo vinaendelea kukua jinsi muda unavyokwenda, so far hajatukia dawa zozote lakini vinamsumbua sana kwani hajajua atumie dawa gani, kuvikata hosipitalini kidogo amekuwa mzito, anataka kutumia dawa za kienyeji.

Nimeona si mbaya macomrade nikiwashilikisha ili mnipe ushauri nimsaidie vipi.

Advise critically.
 
Vinyama? Isije kuwa papillosquamous eruptions ama papilloma. Wahi kwa gynaecologist na kama vp mkacheki na ngwengwe pia.
 
Hapo kwenye tiba za asili hapo. Inaaminika hivi vinyama vinaleta mikosi.
Is it?

Labda tujibu why unataka tiba za kienyeji?
 
Kuota vinyama sehemu za siri huwa inasababishwa na Fangas zilizokomaa, zaitwa Worts vinaota vinyama kama uyoga hivi, mwambie atumie dawa moja hivi inauzwa kwenye maduka mengi ya dawa imeandikwa kiswahili 'dawa ya mba' imekaa kama spirit hivi ila ina maumivu sana, lakini vinyama vitakauka na kuisha vyenyewe within 4 days.
 
kuota vinyama sehemu za siri huwa inasababishwa na Fangas zilizokomaa, zaitwa Warts vinaota vinyama kama uyoga hivi, mwambie atumie dawa moja hivi inauzwa kwenye maduka mengi ya dawa imeandikwa kiswahili 'dawa ya mba' imekaa kama spirit hivi ila ina maumivu sana, lakini vinyama vitakauka na kuisha vyenyewe within 4 days.

Mkuu hiyo dawa uliyoitaja unaijua vizuri lkn? Naona unataka huyo msichana atoke mbio akiwa uchi maana atasikia kitu inawaka moto.Hiyo haishauriwi kuwekwa kwenye open wound na maumbile ya mwanamke hayana tofauti sana na open wound ndo maana ukimpaka pilipili kwenye nyeti zake basi utakuwa umezua balaa kubwa.
By the way kama tatizo ni warts basi zinatakiwa zichomwe kwa kutumia Caustic pencil(silver nitrate pencil) ambayo inatakiwa ifanywe na daktari mwenyewe.Otherwise please consult a medical doctor immediately.
 
kuota vinyama sehemu za siri huwa inasababishwa na Fangas zilizokomaa, zaitwa Worts vinaota vinyama kama uyoga hivi, mwambie atumie dawa moja hivi inauzwa kwenye maduka mengi ya dawa imeandikwa kiswahili 'dawa ya mba' imekaa kama spirit hivi ila ina maumivu sana, lakini vinyama vitakauka na kuisha vyenyewe within 4 days.

Mkuu hiyo dawa uliyoitaja unaijua vizuri lkn? Naona unataka huyo msichana atoke mbio akiwa uchi maana atasikia kitu inawaka moto.Hiyo haishauriwi kuwekwa kwenye open wound na maumbile ya mwanamke hayana tofauti sana na open wound ndo maana ukimpaka pilipili kwenye nyeti zake basi utakuwa umezua balaa kubwa.
By the way kama tatizo ni warts basi zinatakiwa zichomwe kwa kutumia Caustic pencil(silver nitrate pencil) ambayo inatakiwa ifanywe na daktari
mwenyewe.Otherwise please consult a medical doctor immediately.

The medicine can be used to the normal fungus?
 
kuota vinyama sehemu za siri huwa inasababishwa na Fangas zilizokomaa, zaitwa Worts vinaota vinyama kama uyoga hivi, mwambie atumie dawa moja hivi inauzwa kwenye maduka mengi ya dawa imeandikwa kiswahili 'dawa ya mba' imekaa kama spirit hivi ila ina maumivu sana, lakini vinyama vitakauka na kuisha vyenyewe within 4 days.

Sidhani kama hivyo vinyama ni fungus...kwa kawaida hawasababishi kuota vinyama ukeni. Kimelea kinachosababisha sana kuota vinyama ukeni ni Human Papilloma Virus (HPV), naye ndiye anayesababisha 'warts', si fungus. Mshauri dada aende Hopsitali akamuone daktari amuexamine kujua kama ni warts au la, pia anaweza kufanya vipimo kuthibitisha kuwa ni HPV au la, kisha akashauri matibabu (yanategemea ukubwa na wingi wa hivyo vinyama vyenyewe).

NB: Hili tatizo ni serious, laweza likawa linafuatana na tatizo kubwa zaidi ya hizo watrs zenyewe....ni muhimu sana aende aakamuone daktari kwa matibabu na ushauri zaidi.
 
pole mgonjwa. ila matibabu ya uhakika utayapata hospitali...japo naelewa ugumu wa kuchojoa nyeti kwa mtu baki hata kama ni dk
 
heshima mbele wa JF. na kazi yangu (demu) moja inatatizo sehemu za uke, maeneo tukufu yameota vinyama nyama ambavyo vinaendelea kukua jinsi muda unavyokwenda, so far hajatukia dawa zozote lakini vinamsumbua sana kwani hajajua atumie dawa gani, kuvikata hosipitalini kidogo amekuwa mzito, anataka kutumia dawa za kienyeji.

nimeona si mbaya macomrade nikiwashilikisha ili mnipe ushauri nimsaidie vipi.

advise critically.

Halafu nakuona kama una dharau na huna lugha ya kistaarabu yaani ulivyandika hapo kwenye red utafikiri ni ngo'mbe au nguruwe ina matatatizo kumbe mtu. lol!
 
heshima mbele wa JF. na kazi yangu (demu) moja inatatizo sehemu za uke, maeneo tukufu yameota vinyama nyama ambavyo vinaendelea kukua jinsi muda unavyokwenda, so far hajatukia dawa zozote lakini vinamsumbua sana kwani hajajua atumie dawa gani, kuvikata hosipitalini kidogo amekuwa mzito, anataka kutumia dawa za kienyeji.

nimeona si mbaya macomrade nikiwashilikisha ili mnipe ushauri nimsaidie vipi.

advise critically.

Halafu nakuona kama una dharau na huna lugha ya kistaarabu yaani ulivyooandika hapo kwenye red utafikiri ni ngo'mbe au nguruwe ina matatatizo kumbe mtu. lol!
 
Back
Top Bottom