Jamani, mbona mnataka kuuana hivyo kwa kumwambia mwenzako akafanyiwe operation? Hilo sio tatizo bwana mkubwa, kuna vidonge vyake fulani unakua unadumbukiza huko 'down' mbona kitaisha tuu. Mimi kuna jamaa yangu mmoja aliamua kukikata hiko kinyama kwa operation chupu chupu tuzike... so kwa ushauri wangu wa bure nenda hospitalini then watakupa dawa, kama kuna Dr atakwambia ni swala la operation then muulize an alternative means ya tiba, huwa zipo. Jaribu kufukiri joto na kutumia hiyo sehem kwa haja kubwa, ukikatwa huko utapona leo?