Pata dondoo za maswala ya kazi na ajira hapa

omkude

New Member
Apr 11, 2012
2
5
Habari wana jamii,

Kuna tovuti inatoa taarifa kedekede za kazi na ajira bure. Huko tunaweza kujifunza mambo mengi ya manufaa kwetu, kama vile maswala ya viwango vya chini vya mishahara kisheria, sheria za kazi, haki za mfanya kazi, na pia kuna survey wanafanya ya viwango vya mishahara/kipato, watatoa matokeo hayo kwenye mtatandao huo. Pia wanatoa ushauri kuhusu career, interview tips, CV tips and nyingine nyingi. Nimeona niwashirikishe wadau hasa hii ya interview tip tuweze kujifunza na kujiweka kisawasawa pale tutakapoenda kwenye interview.
Link yao ni: AfricaPay.org/Tanzania - All about Pay, Income and Work in Tanzania, Minimum Wage Tanzania

au Mywage.org/Tanzania - All about Income and Work in Tanzania, Minimum Wage Tanzania

Karibuni kujifunza wana jamii
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom