Pata bata mzinga kwa bei nafuu, wanapatikana wakubwa kwa wadogo wenye uzito kuanzia 15kgs...

bata mzinga wenye uzito wa kutosha wanapatikana kwa bei ya maelewano na muuzaji,pia bata bukini pamaja na kanga wanapatikana.
kwa mawasiliano ya simu piga namba:0757 662401
kaka kitomari2 (JOSEPHG JOSEPH) kuna tuhuma zimeletwa hapa kuwa wewe ni tapeli. Ebu uje utoe ufanuzi. Nafikiri zito sifa nzuri kuitwa tapeli.
 
Jamani nawataadharisha huyu ni tapeli na namdai lak 5 ya hao bata mzinga anaotangaza kila siku.....mwongo mkubwa
 
Back
Top Bottom