Pata bata mzinga kwa bei nafuu, wanapatikana wakubwa kwa wadogo wenye uzito kuanzia 15kgs...

Sawa kanga 25 wakubwa ambao wanataga (2) bata mzinga 60000/= wanaotaga pia (3) bukini elifu 80000/=
 
Bata mzinga? Hivi kumbe wanaliwa eeee? Lool, basi maisha ya bongo yako taiti mbaya hadi unakula bata mzinga.
NENDA HOTELI KUBWA ZA NCHI ZA NJE HALAFU ULIZIA BEI YA BATA MZINGA UONE BEI YAKE KAMA HUJUI KWA KINGEREZA WANAITWAJE WANAITWA turkey WATU WENGINE BWANA .....
NINA WASI WASI WEWE NI WA MKOANI HATA DAR ES SALAAM HUJAWAHI FIKA
 
WA-UKENYENGE

tena afadhali bata mzinga bei yake ni poa, bata bukini ndiyo usiseme, wanafika mpaka TZS 250,000 per bird

hivi unaishi nchi gani ndugu yangu, hivi UKENYENGE ndiyo UK
 
Ukenyenge shinyanga? ni haki yako kuuliza kuhusu bata mzinga coz hata maajabu ya mwanamalundi yamekuathiri sana. kaaz kweli kweli.
 
huku kwetu yalikuwepo mengi tu, yamewindwa windwa na miti kukutwa ovyo, siku izi hata sungura na paa hawapo tena. nawamiss ukerewe kwakweli
 
WA-UKENYENGE

tena afadhali bata mzinga bei yake ni poa, bata bukini ndiyo usiseme, wanafika mpaka TZS 250,000 per bird

hivi unaishi nchi gani ndugu yangu, hivi UKENYENGE ndiyo UK

bata bukini yupoje? mimi najua kuna bata mzinga na bata maji nilivyosoma hapo kwako ndio nimejua kumbe kuna specie nyingine.. hahahaa kiingerez anaitwaje au botanic name yake
 
bata bukini - geese
 
NENDA HOTELI KUBWA ZA NCHI ZA NJE HALAFU ULIZIA BEI YA BATA MZINGA UONE BEI YAKE KAMA HUJUI KWA KINGEREZA WANAITWAJE WANAITWA turkey WATU WENGINE BWANA .....
NINA WASI WASI WEWE NI WA MKOANI HATA DAR ES SALAAM HUJAWAHI FIKA
haya bwana ungejua naishi mjini tena jiji zuri ucngelixema hata
 
tatizo wabongo hapo ndio mnapokoseha wewe unauza kitu baada useme unauza shingapi unaleta mambo ya longolongo hooo!piga nikupe bei be specific unauza shingapi? acheni uswahili!
 
Back
Top Bottom