Pastor Emmanuel Munguatosha sasa yupo DSM

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,708
10,204
Tangazo la Semina
Ni siku mbili za udhihirisho wa Nguvu za Mungu ndani Dar es salaam
Ni kamati ya "The real son's of God Dar es salaam " wamekuandalia semina ya neno la Mungu itakayoongozwa na Pastor Emmanuel ni semina Maalum ya ukombozi
Ni siku mbili tu!
Mahali ni Shule ya Msingi Mwenge
Karibu na kituo kidogo cha mabasi MWENGE ITV ..
Walefe wote waliomilikiwa na nguvu za giza njoo ufunguliwe!!
Ukombozi pekee ndio utakao mfunua mtu halisi!!!
Watu wengi wako chini ya vifungo bila wao wenyewe kujua
Nafasi hii siyo ya KUKOSA
Muda: ni jumamosi kuanzia saa 10:30 SAA kumi na NUSU JIONI na siku ya Jumapili ni kuanzia SAA 4:00 kamili asubuhi
Kwa mawasiliano jinsi ya KUFIKA!
0764205871
0715803040
0754810853
 
Nakukaribisha kwenye maombi, siku ya jumamosi, njoo uwakilishe hoja zako mbele za Bwana. Mwambie na shem. Ni maomba ya kuvunja NIRA, maagano, mikosi na kila laana. Laana za kurithi, za kifamilia, za kutamkiwa na za kunuiziwa
Kila uchawi utaharibiwa na hakutakuwa na uchawi tena juu yetu
Siku ni mbili tu, Jumamosi saa kumi jioni na Jumapili kuanzia Saa nne asubuhi
 
Kwa dalili hizi sizani kama dunia itafika karne moja kabla ya Masia kurudi
umetisha. Nakupongeza kwa kutambua kuwa ule mwisho umefika. Njooni tukatubu pamoja, kabla mwana wa Adam hajaja kulinyakua kanisa lake.
 
Back
Top Bottom