uko mkoa gani?
Sasa huko unakoelekea (mfano wa barua ya mwaliko) utafungwa kwa kugushi nyaraka...naombeni msaada ndugu zangu, either wa mfano wa barua ya mualiko au mtu ambae unamfahamu yuko uhamiaji atanisaidia kwa haraka sana. Uki ni PM utakua umenisaidia sana
Inategemea na aina ya pasi unahitaji kwa ajili ya safari, maana kuna kama ifuatavyo;
1. Emegency travel document (ETD) ama Shahada ya Safari ya DHARURA imeanishwa nchi unazoruhusiwa kusafiria Yaani KENYA, UGANDA, MALAWI, DRC, RWANDA, BURUNDI, ZAMBIA, &MSUMBIJI
na bei yake ni Tsh. 10,000tu. Fomu zapatikana palepale ofisini unatakiwa kuwa na Picha 3ppt size blue background, cheti cha kuzaliwa cha mwombaji, cha mmoja kati ya wazazi wako, stempu za Tra 2 endapo utatumia viapo, barua kutoka serikali za mtaa.
2. Pasipoti ya Kawaida (ORDINARY PASSPORT) Bei yake ni TSh 50,000tu bila chenga na pasi hii inakuwezesha kusafiri kwenda popote duniani, chamsingi uwe na viambata nilivyovitaja hapo mwanzo na barua ya uthibitisho wa safari yako na ni ndani ya siku 7 (saba) tangu kupokelewa kwa ombi lako unapata pasi yako, na uharaka wa pasipoti yako inategemea udharura wa safari yako na tatizo pia, mfano unaumwa mahututi unatakiwa ukatibiwe nje pasipoti yako inawezekana kuipata siku hiyohiyo.
3. PASI YA AFRIKA MASHARIKI (EAST AFRICAN PASSPORT) Bei yake Tsh 15,000tu na inakuwezesha kusafiri katika nchi wanachama na inakuwezesha kufungua akaunti ya akiba katika nchi wanachama.
Kumbuka ETD haitolewi makao makuu Kurasini na Epukana na Madalali na matapeli nenda moja kwa moja kwa afisa uhamiaji katika sehemu husika hasa ofisi za uhamiaji, pia uwanja wa ndege, bandarini na vituo vya kutokea na kuingilia ni vya uhamiaji, isipokuwa hakuna Pasipoti yeyote inayotolewa katika sehemu tajwa. Itangaze nchi yako kwa kutumia pasipoti ya nchi yako.
Mkuu Mtanzania yeyote anaweza akapata passport uhamiaji.., ila issue mara nyingi wanakuuliza unataka ya nini.., hivyo utakachotakiwa kufanya ni kuandika barua ya maombi na kuelezea sababu yako ya kuomba.., (wengi hapa hata kama hawaendi shule huwa wanaandika kwa ajili ya biashara.., mfano kwenda nchi fulani kutafuta bidhaa za kuuza)
Na huko uhamiaji watataka kuambatanisha na cheti cha kuzaliwa kuonyesha wewe ni mzawa.., baada ya hapo kujaza form na fingerprints watatuma forms Dar kama upo mikoani au kama ni hapo hapo Dar wataiprocess.. (cha kufanya funga safari kesho nenda uhamiaji ukapate maelezo full)
Baada ya hapo ukishapata passport inabidi upate VISA ya sehemu unayokwenda ambayo ndio itagongwa kwenye passport yako.., na VISA huwa inapatikana kwenye ubalozi husika.., na kama una sababu ya maana mfano shule.., hivyo vyote utavipata pasipo shaka. Ila na kwenye VISA watataka wajue unaenda kwao kufanya nini na utaishi vipi na nani atakulipia vitu (hapo ndio barua za shule na sponsorship itafanya kazi.., kama hauna sponsor basi ni Bank Statement yako au ya mfadhili wako kuona kama kweli unaweza ukaziweza costs za huko)
Asante sana mkuu kwa msaada wako,mi niko huku Bush lakini kesho ndo nataka niende mjini,cost fee yake ni shilingi ngapi?
Asante kwa msaada.
S/No | Types of Passports and Travel Documents | Fees (Tsh) |
1. | Ordinary Passport | 50,000/= |
2. | Diplomatic Passport | 50,000/= |
3. | Service Passport | 50,000/= |
4. | East African Passport | 15,000/= |
5. | Emergency Travel Document | 10,000/= |
6. | Certificate of Identity | 10,000/= |
7. | Geneva Convention Travel Document | 20,000/= |
PASSPORTS AND TRAVEL DOCUMENTS FEES
S/No Types of Passports and Travel Documents Fees (Tsh) 1. Ordinary Passport 50,000/= 2. Diplomatic Passport 50,000/= 3. Service Passport 50,000/= 4. East African Passport 15,000/= 5. Emergency Travel Document 10,000/= 6. Certificate of Identity 10,000/= 7. Geneva Convention Travel Document 20,000/=
3. STUDY TRIP
The application for the study trip shall be accompanied by:-
- admission letter;
- academic certificates;
- sponsorship letter;
- proof of payment for private sponsorship;
- permission letter from the employer if the applicant is employed and
- permission letter from the parent or guardian to the applicant below the age of 18 years.
Kwa information A to Z cheki site ya Uhamiaji hapa chini
Immigration Services Department of United Republic of Tanzania
1. | Ordinary Passport |
2. | Diplomatic Passport |
3. | Service Passport |
sorry mkuu msaada kidogo kutofautisha hizi passports:
1. Ordinary Passport 2. Diplomatic Passport 3. Service Passport
According to site ya uhamiaji
Immigration Services Department of United Republic of Tanzania
TYPES OF PASSPORTS AND TRAVEL DOCUMENTS
Ordinary Passport:
An ordinary passport may be issued to any citizen of the United Republic of Tanzania for the purpose of travelling outside the United Republic of Tanzania
Service Passport:
A service passport my be issued to any citizen of the United Republic of Tanzania who is in the public service.
Diplomatic Passport:
A Diplomatic passport may be issued to a citizen of the United Republic who is entitled to such passport as specified by the Tanzania Passports and Travel documents Act of 2002.
East African Passport:
East African passport may be issued to citizen of the United Republic of Tanzania who intends to travel within the East African Community Partner States.