Pasco wa JF aje Hapa!

Pasco, yako wapi?
Hii si aibu kwa umri wako mzee mwenzangu?
Mtu kama wewe, kwa kazi yako hutakiwi kuwa mnafiki, maana unadeal na Media...umeishushia sana hadhi PPR
 
wakuu nimefatilia post zake jana usiku alikuwa wa kwanza kusema chadema wanashinda na nilishindwa kumwelewa''pasco kama alivyo waberoya free pipo hawafungamani kokote naona ni sawa tu
 
PJ jana kuna uzi kaanzisha Pasco yaani amejichanganya kama mchawi aliyekamatwa anawanga!!!!!

Pasco ni mtu hatari sana katika jamii ya JF hapaswi kuaminiwa na hana msimamo wa moja kwa moja.
 
wakuu nimefatilia post zake jana usiku alikuwa wa kwanza kusema chadema wanashinda na nilishindwa kumwelewa''pasco kama alivyo waberoya free pipo hawafungamani kokote naona ni sawa tu
Pasco anaudhi maana anaongea kwa uhakika sana vitu ambavyo havielewi, wala hana uhakika navyo!
Naomba aje kuthibitisha au kufuta kauli yake kwamba Sioi alishinda tokea siku alipothibitishwa!...
Pascoo, too boring you hypocrite!
 
Pasco, yako wapi?
Hii si aibu kwa umri wako mzee mwenzangu?
Mtu kama wewe, kwa kazi yako hutakiwi kuwa mnafiki, maana unadeal na Media...umeishushia sana hadhi PPR

Mi namtaka swahiba wangu Rejao.
Pasco we nenda naye RIP
Rejao ntakuwa naye Picnic.

Lengo: KUjadili Mustakabali wa Taifa letu ifikapo 2015.
 
Huyo ndiye Pasco Mayalla wa PPR

Hapana, huyo siye, huyu ni Pasco wa JF angalia PJ kaandika nini?

PJ, post ya Pasco jana ilikuwa ni namna ya kufuta kauli yake, aliandika, cdm wanashinda na hii ni baada ya kuondoa miwani ya rangi fedha EL, na kuvaa miwani halisi-Haki na Utu wake. Na kwa sasa jamaa ni :shut-mouth:
 
Pasco anaudhi maana anaongea kwa uhakika sana vitu ambavyo havielewi, wala hana uhakika navyo!
Naomba aje kuthibitisha au kufuta kauli yake kwamba Sioi alishinda tokea siku alipothibitishwa!...
Pascoo, too boring you hypocrite!
Nasikia ile mvua ya kutengeneza ya mkwe wa Sioi inamwaga kwa wingi Arusha hivi sasa.
Naona mahesabu yamekataa, walitaka ipige usiku ili wachakachue...... Mungu akaipiga stop!

Waliosahau kuwa Pesa haina ujanja mbele ya Mungu.
Wao wameanza na Pesa, wengine wakaanza na Mungu!
Sauti ya watu, Sauti ya Mungu.
 
Back
Top Bottom