PASCO wa JF ahojiwe kuhusu sumu ya Mwakyembe

Leta ushahidi wa wa umafia na uwepo wa genge la lowasa. Pia kanusha kauli za pasco juu ya Mwakyembe kuwa under heavy medication.
Huwezi pata majibu zaidi ya kupigwa siasa.
Genge la Lowassa ni mafia
OTIS
 
Pasco & Jason bourne mnawatakia nini lakini? Maana Mi cjaona kosa lao kabisa.

Ina maana mtu sasa ukiwa na taarifa usitonyo jamii?
Mi mambo ya kuwa discus hawa member siungi mkono hata punje!

Pasco & Jason bourne tu pamoja A to Z!

Pamoja Daima!
 
Kwan mwakyembe hatakiwi kuugua ? who is he so far ?
Apollo wanasema pia ugonjwa huo ni inherited!!!!!!!!!!
 
Someone said it here sometime ago that Pasco is a SNITCH!!!! Yumo humu kwa kazi maalum na kuwepo kwake karibu na INVISIBLE is not good to JF's health!!

aisee kama kuwa na mawazo huruni kuwa snitch , naomba kwenye list yako niweke mimi snitch wa kwanza!!
 
Mbona mnawatisha waleta newz??
Hata kama anahusika kama alitumwa na wakubwa zake afanye hivyo na now anataka kumwaga mboga .

Kuna mengi tulikuwa hatuyajui lakin yeye kayaleta na tunayajua now.

Mbona JB alipoleta yale mambo ya polium wengi mlishadadia na kumpongeza na kumsihi asisite kumwaga nyeti zingine pindi azinasapo..

Je kama JB angetishwa na wale waliofanya mpango wa kumuwekea sumu mwakyembe wewe ungekuwa upande upi?
Na je ungefurahia??
Hii ndo jf bana jf huru ndio mana tunatumia id magumashi.
 
humu jf kuna waliojua kabisa habari yote ya kuwindwa kwa mwakyembe.
wapo waliojua akiwindwa kwenye mkutano kule mlimani city
pia kuna mtu alitoa uzi akisema kuna kiongozi atafariki mwezi ..... mwaka jana.
siyo pascal tu aliyejua lakini inaonekana ilikuwa siri ambayo ilishaanza hata kuvuja.
 
Mbona mnawatisha waleta newz??
Hata kama anahusika kama alitumwa na wakubwa zake afanye hivyo na now anataka kumwaga mboga .

Hakuna anayemtisha mtu bali huu ni ukweliuko wazi kabisa kuwa jamaa ana data zaidi. Kama kutishia waleta news basi mimi ndo nimetishiwa maana sehemu niliyotuma huu ujumbe jana leo mchana saa saba hivi kuna wanawake wawili wameenda kuuliza kwa mhudumu wa Internet cafe anaweza kukumbuka watu waliingia kwenye cafe yake kati ya saa moja hadi saa mbili kasorobo jana. Eti kuna mhalifu sugu aliingia pale na kusambaza ujumbe wa kihalifu, je sio kuwa walikuwa wanaitafuta mimi? anyway labda ni hisia zangu tu.
 
Leta ushahidi wa wa umafia na uwepo wa genge la lowasa. Pia kanusha kauli za pasco juu ya Mwakyembe kuwa under heavy medication.

Ngoja Pasco amalize sherehe ya kujipongeza
atakuja hapa
OTIS
 
Kutokana na mwenendo wa huyu Pasco nimelazimika kumuanzishia uzi maalumu. Kwa tunaojua kusoma katikati ya mstari nimebaini kuwa Pasco anajua full stori ya Mwekyembe kupewa sumu. Na yupo hapa JF kupoteza lengo na kupotosha umma wa Watanzania. Hivi yeye alijua lini Mwakyembe aliwekewa hiyo sabuni na kitambaa na kuwa wakati huo Mwakyembe alikuwa anatumia dawa? Kwahiyo huo ulikuwa mpango kabambe ulionaandaliwa vizuri ili hata hapo baadaye ije asemwe aaah si alikuwa anaumwa...... Ndo maana Pasco kakomaa kuwa Mwakyembe alikuwa anaumwa, hata kama alikuwa naumwa haiondoi ukweli kuwa kapewa sumu.

Kwahiyo Pasco anajua hata siku aliyowekea Mwakyembe hiyo sabuni na kitaulo, anajua hata siku hiyo Mwakyembe alikuwa anmeza dawa gani? jamani hamuoni kuwa Pasco anaweza kusaidia upepelezi au ni mimi naliona hili? Kuandika kwako sana Pasco kumekuponza, hili unalo............

Hebu soma kwa makini maneno haya ya Pasco: Mimi binafsi bado nasimama na taarifa ya DCI Manumba!.

Kuna kitu kinaitwa "sensionalism" na vifo vya "amazing coincidence"
Tumegundua ujanja wako! Kumbe wewe ndo unajua dili zima! Unajaribu kutisha watu wanaojua mlichokifanya! Unakerwa na jinsi anavyosimulia mlichokifanya ndo maana unataka kuwanyamazisha kwa matisho! Big up Pasco! kama una taarifa zaidi mwaga!
 
Mbona mnawatisha waleta newz??
Hata kama anahusika kama alitumwa na wakubwa zake afanye hivyo na now anataka kumwaga mboga .

Hakuna anayemtisha mtu bali huu ni ukweliuko wazi kabisa kuwa jamaa ana data zaidi. Kama kutishia waleta news basi mimi ndo nimetishiwa maana sehemu niliyotuma huu ujumbe jana leo mchana saa saba hivi kuna wanawake wawili wameenda kuuliza kwa mhudumu wa Internet cafe anaweza kukumbuka watu waliingia kwenye cafe yake kati ya saa moja hadi saa mbili kasorobo jana. Eti kuna mhalifu sugu aliingia pale na kusambaza ujumbe wa kihalifu, je sio kuwa walikuwa wanaitafuta mimi? anyway labda ni hisia zangu tu.
Bora wewe utafutwe ukamatwe na ufungwe kabisa! Wala hueleweki!
 
Ndambaswala ulichofanya hakina tofauti na alichofanya Tendwa Arusha.

Polisi wanatoa mshiko ukiwapa taarifa nyeti huzitaki????????
 
Kutokana na mwenendo wa huyu Pasco nimelazimika kumuanzishia uzi maalumu. Kwa tunaojua kusoma katikati ya mstari nimebaini kuwa Pasco anajua full stori ya Mwekyembe kupewa sumu. Na yupo hapa JF kupoteza lengo na kupotosha umma wa Watanzania. Hivi yeye alijua lini Mwakyembe aliwekewa hiyo sabuni na kitambaa na kuwa wakati huo Mwakyembe alikuwa anatumia dawa? Kwahiyo huo ulikuwa mpango kabambe ulionaandaliwa vizuri ili hata hapo baadaye ije asemwe aaah si alikuwa anaumwa...... Ndo maana Pasco kakomaa kuwa Mwakyembe alikuwa anaumwa, hata kama alikuwa naumwa haiondoi ukweli kuwa kapewa sumu.

Kwahiyo Pasco anajua hata siku aliyowekea Mwakyembe hiyo sabuni na kitaulo, anajua hata siku hiyo Mwakyembe alikuwa anmeza dawa gani? jamani hamuoni kuwa Pasco anaweza kusaidia upepelezi au ni mimi naliona hili? Kuandika kwako sana Pasco kumekuponza, hili unalo............

Hebu soma kwa makini maneno haya ya Pasco: Mimi binafsi bado nasimama na taarifa ya DCI Manumba!.

Kuna kitu kinaitwa "sensionalism" na vifo vya "amazing coincidence"

Alikua ana ngomaaA,wakamuongezea gitaa Atengeneze bendi...
 
Mbona mnawatisha waleta newz??
Hata kama anahusika kama alitumwa na wakubwa zake afanye hivyo na now anataka kumwaga mboga .

Hakuna anayemtisha mtu bali huu ni ukweliuko wazi kabisa kuwa jamaa ana data zaidi. Kama kutishia waleta news basi mimi ndo nimetishiwa maana sehemu niliyotuma huu ujumbe jana leo mchana saa saba hivi kuna wanawake wawili wameenda kuuliza kwa mhudumu wa Internet cafe anaweza kukumbuka watu waliingia kwenye cafe yake kati ya saa moja hadi saa mbili kasorobo jana. Eti kuna mhalifu sugu aliingia pale na kusambaza ujumbe wa kihalifu, je sio kuwa walikuwa wanaitafuta mimi? anyway labda ni hisia zangu tu.

Inaogopesha wandugu
 
Back
Top Bottom