Pasco na waandishi wenzako...

Mkuu Pasco , sasa msiba umepita na Mh.Regia apumzike kwa amani .Naona sasa ni wakati muafaka unipe jibu juu ya wewe na wenzako kupenda bahasha za khaki ili muweze kuandika habari kwa watanzania kujua nini kinaendelea .Karibu tuanzie hapa kwanza maana kwangu nimeshangaa kwamba unahongwa ili uandike habari hata zile ambazo ni za manufaa kwa jamii lakini lazima bahasha ya khaki .

Habari zako ndugu na nina imani umeuanza mwaka ukiwa mzima wa afya njemanani huyo mwenye bahati ya kumhonga Pasco?
 
pasco ni mtu wa theory tu'yaani pasco akipewa nafasi afanye anayoyasema hawezi'lakini wakina pasco ni watu muhimu sana japo wao ni wasemaji na sio watendaji'hizo bahasha zitakuwa zinatoka kwa wapambe wa lowassa wanaojiandaa kuitawala tanzania na kugawana madaraka akiwemo peter serukamba!
 
Gambling at its best! Hakuna kitu cha kueleweka na cha maana cha kutangaza mtu kashinda hata kabla ya ushindani kufikia muda wake. Ukiona hivyo, jua basi mambo hata kama yatakuwa hayawezekani, itaanzishwa process ya kuyawezesha. Kupiga debe is one thing,....ku declare winning is completely another! I am just gazing with amusement, what the hell is going on!!!
 
Mkiwa na waandishi kama Pasco 20 basi tasnia ya uandishi wa habari itakufa maana licha ya kusoma lakini ameufanya weledi wake isifanye kazi kwa vibahasha uchwara. Mimi alipojipambua eti yeye yuko upande wa Lowasa nilishangaa sana na kuona si bure.
 
nadhan waandish wanaopokea bahasha za khaki ni zaid ya 20,ndo maana cku iz hbr za vy0mbo vye2 hazna MASHKO
 
ha ha haa msimlaumu sana Pasco
mkiaambiwa humu hata CHADEMA wanapokea pesa za Lowassa hamtaamini.....

wenyewe wanaita eti 'strategy ya kuibwaga ccm'......eti Lowassa akiwa mgombea wa CCM

CHADEMA watashinda kwa urahisi.........kumbe ni bahasha zina wa twist...lol

hii nchi ina laana hii sio bure.......
 
waandishi wanaofichua maovu kama wakina katabaro wanakufa kwa visasi.

Wapika majungu wanapewa tuzo.
 
ha ha haa msimlaumu sana Pasco
mkiaambiwa humu hata CHADEMA wanapokea pesa za Lowassa hamtaamini.....

wenyewe wanaita eti 'strategy ya kuibwaga ccm'......eti Lowassa akiwa mgombea wa CCM

CHADEMA watashinda kwa urahisi.........kumbe ni bahasha zina wa twist...lol

hii nchi ina laana hii sio bure.......

Boss,
The obvious question that comes into my mind is that, why should I trust these politicians? It seems they all look alike, somehow! The only difference is the circumstances they operate.
 
Sijajua Pasco analaumiwa kwa lipi humu jamvini! Kama ni kuhusu Lowasa yuko right...ndani ya ccm hakuna wa kumfikia Lowasa kiutendaji! Pasco haandiki kwenye gazeti lolote analeta hoja hapa tunajadili no matter hoja yake imeegemea upande gani so hoja hushindana kwa hoja c matusi wala kashfa...mtazamo wangu tu
 
Hivi huyo Pasco ndo yule Mayala? Kama ndio yeye basi nadhani atakuwa ni mmoja wa waandishi wanafki wakubwa hapa TZ.Mnakumbuka ule mdahalo wa Tundu Lisu na Habibu Mnyaa pale Movenpick alisemaje? Kabla ya kumuuliza swali Tundu Lisu ali-declare interest kuwa yeye si mshabiki wala hana kadi ya chama chochote cha siasa.Lakini sasa hivi amejipambanua kuwa yeye ni mmoja wa wapiga debe wakubwa wa Lowasa.Ina maana EL hana chama? Inatia mashaka sana juu ya credility za waandishi wa namna hii kwani wengi wao ni wachumia tumbo tu.

Inaonyesha kuwa Pasco ameamua ku-gamble kwa reside upande wa Lowasa ili akifanikiwa basi naye apate fadhila kama alizopata SAlva Rweyemamu.Pasco bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi kwani unaweza kuishia kuliwa na simba.
 
Habari zako ndugu na nina imani umeuanza mwaka ukiwa mzima wa afya njemanani huyo mwenye bahati ya kumhonga Pasco?
We ndio Pasco???
Kwani Pasco mwenyewe hawezi kujibu??
Kwa taarifa yako huyo Pasco wako anahongeka tu kama wengine.
Mwanaume mzima unafunga safari mpaka Morogoro kufuata ka-picha kamoja tu ka wanaume wakishikana mikono, kama sio umbea na upashkuna ni nini??
 
Rushwa mpaka kwenye uandishi wa habari? Kama Pasco ni mfuasi wa Lowassa basi hadhi ya uandishi wa habari imekufa.
 
Hivi huyo Pasco ndo yule Mayala? Kama ndio yeye basi nadhani atakuwa ni mmoja wa waandishi wanafki wakubwa hapa TZ.Mnakumbuka ule mdahalo wa Tundu Lisu na Habibu Mnyaa pale Movenpick alisemaje? Kabla ya kumuuliza swali Tundu Lisu ali-declare interest kuwa yeye si mshabiki wala hana kadi ya chama chochote cha siasa.Lakini sasa hivi amejipambanua kuwa yeye ni mmoja wa wapiga debe wakubwa wa Lowasa.Ina maana EL hana chama? Inatia mashaka sana juu ya credility za waandishi wa namna hii kwani wengi wao ni wachumia tumbo tu.

Inaonyesha kuwa Pasco ameamua ku-gamble kwa reside upande wa Lowasa ili akifanikiwa basi naye apate fadhila kama alizopata SAlva Rweyemamu.Pasco bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi kwani unaweza kuishia kuliwa na simba.
Sio huyu, yule nae yupo humu na ndio walewale tu.
Hakuna hata mwenye uafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom