Pasco Na Comment Zake Kuhusu Ikulu.

Huyu Pasco wa JF leo ameniweka njiapanda pale alipokuwa anahitimisha sherehe za 8'8, akiwa na kundi kubwa la wafanyakazi wa Ikulu.
Amesema huku akijiamini, kuwa "Zamani Ikulu ilikuwa ni Mahali Patakatifu, lakini sasa hivi JK amepafanya pamekuwa Down To Earth na pako Reachable"!
Kwa kauli hiyo Pasco anaweza kutafsiriwa kwa namna 2.
-Aidha anaponda Ikulu ya enzi za Mwalimu kuwa iliibana mno Ikulu,
-Au anaponda Ikulu ya JK kuwa imekuwa too linient kwa raia na wageni.
Wadau wenzangu mnaisomaje kauli hiyo?
Mkuu PK, kwanza umemchanganya Pasco wa JF na mimi Pascal Mayalla. Pasco wa jf is not real, he is just a pen name and in reality he is nobody just a name. Mimi Pascal Mayalla ni real man, verified user hivyo mimi ni mtu wa ukweli na ninaposti humu vitu vya ukweli tupu ambavyo vipo wakati Pasco wa jf sio mtu wa ukweli na anaposti humu vitu vya kufikirika tuu sometimes sio vya ukweli bali vya kufikirika tuu "idealistic and wishful thinking"!.

Kwa wanaopenda kujua nilimaanisha nini, mnaweza kuangalia TBC-1 now, saa 4:15-5:00 kipindi kinarudiwa, then mniambie mmeelewa nini, kama hamjaelewa nitajitahidi kuwaelewesha.

asante.

Pascal Mayalla.
 
Last edited by a moderator:
aiseeeee Pasco ni msomi mwenye akili mno na muandishi wa habari mtukuka mwenye weledi aliewahi kutokea tanzania na mwenye kipaji cha ajabu .......nchi za magharibi zinamgombea afanye nao kazi na mara nyingi wamem approach ahamie nchi zao na kupewa full presidential packages......tatizo watanzania vipaji kama vya pasco hamvithamini mnaviponda na kuvinanga bila sababu......

Pasco naweza kumuweka level moja na nguli kama Anderson cooper wa CNN,the late Shepard Smith WA fox news,Don Lemon,Thomas Roberts wa MSNBC,Dan Kloeffler wa ABC....ni moja ya vipaji adimu africa....

Mkuu Yo Yo , wewe ni nouma.. ha ha haa.
Nadhani messaga imefika kwa pasco...
 
aiseeeee Pasco ni msomi mwenye akili mno na muandishi wa habari mtukuka mwenye weledi aliewahi kutokea tanzania na mwenye kipaji cha ajabu .......nchi za magharibi zinamgombea afanye nao kazi na mara nyingi wamem approach ahamie nchi zao na kupewa full presidential packages......tatizo watanzania vipaji kama vya pasco hamvithamini mnaviponda na kuvinanga bila sababu......

Pasco naweza kumuweka level moja na nguli kama Anderson cooper wa CNN,the late Shepard Smith WA fox news,Don Lemon,Thomas Roberts wa MSNBC,Dan Kloeffler wa ABC....ni moja ya vipaji adimu africa....

Hahaha speaking of which let's look near home...Charlene Hunter Gail , Jeff Koinange,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom