Pasco Na Comment Zake Kuhusu Ikulu.

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Huyu Pasco wa JF leo ameniweka njiapanda pale alipokuwa anahitimisha sherehe za 8'8, akiwa na kundi kubwa la wafanyakazi wa Ikulu.
Amesema huku akijiamini, kuwa "Zamani Ikulu ilikuwa ni Mahali Patakatifu, lakini sasa hivi JK amepafanya pamekuwa Down To Earth na pako Reachable"!
Kwa kauli hiyo Pasco anaweza kutafsiriwa kwa namna 2.
-Aidha anaponda Ikulu ya enzi za Mwalimu kuwa iliibana mno Ikulu,
-Au anaponda Ikulu ya JK kuwa imekuwa too linient kwa raia na wageni.
Wadau wenzangu mnaisomaje kauli hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Huyu Pasco siku hizi anataka kuwa kama clouds nilivyoipiga ban kusikilizwa na mimi. Anapenda kupendwa kote ila zaidi apendwe na system bila sisi kujua, utamsikia akisema constructive opinions kuhusu JK. Unataka kufanya renovations kwenye jengo ambalo limeanguka miaka mingi, sisi tunataka kujenga jipya. Pasco muhuni tu
 
Huyu Pasco wa JF leo ameniweka njiapanda pale alipokuwa anahitimisha sherehe za 8'8, akiwa na kundi kubwa la wafanyakazi wa Ikulu.
Amesema huku akijiamini, kuwa "Zamani Ikulu ilikuwa ni Mahali Patakatifu, lakini sasa hivi JK amepafanya pamekuwa Down To Earth na pako Reachable"!
Kwa kauli hiyo Pasco anaweza kutafsiriwa kwa namna 2.
-Aidha anaponda Ikulu ya enzi za Mwalimu kuwa iliibana mno Ikulu,
-Au anaponda Ikulu ya JK kuwa imekuwa too linient kwa raia na wageni.
Wadau wenzangu mnaisomaje kauli hiyo?

PPR anayoitegemea tutaiua soon we mwache tu maneno yaliponza kichwa hivi hajui hilo?
 
Binafsi sijaona sababu ya kufurahia Ikulu inapokuwa "Down to Earth au reachable" kama ambavyo Pasco alionyesha kufurahia kauli hiyo akiwa na waandamizi wa Ikulu!
Watanzania tunapata nn kutokana na hilo? Mwanahabari mwenzako Saeed anafungiwa chombo chake, lakin mtu anasema Ikulu iko down to earth!
Labda niungane na mdau mmoja hapo juu kuwa ishu hapa ni kitengo cha Mawasiliano IKulu.
 
Anasaka UDC
U-DC ni nafasi ndogo mno kwa Pasco.
Ktk hali ya kawaida usingetegemea Pasco apewe au awanie nafasi moja na Mrisho Gambo au Ernest Makunga. I think he aims a bit higher ndiyo maana anapata guts hizo za kuchekacheka mbele ya akina Mama Kaganda, akijua one way another watatia joto wishes zake.
 
Huyu Pasco wa JF leo ameniweka njiapanda pale alipokuwa anahitimisha sherehe za 8'8, akiwa na kundi kubwa la wafanyakazi wa Ikulu.
Amesema huku akijiamini, kuwa "Zamani Ikulu ilikuwa ni Mahali Patakatifu, lakini sasa hivi JK amepafanya pamekuwa Down To Earth na pako Reachable"!
Kwa kauli hiyo Pasco anaweza kutafsiriwa kwa namna 2.
-Aidha anaponda Ikulu ya enzi za Mwalimu kuwa iliibana mno Ikulu,
-Au anaponda Ikulu ya JK kuwa imekuwa too linient kwa raia na wageni.
Wadau wenzangu mnaisomaje kauli hiyo?

Jamani mbona ilishakanushwa kwamba Pasco wa JF si wa 8'8 au mimi sikuelewa?
 
Last edited by a moderator:
aiseeeee Pasco ni msomi mwenye akili mno na muandishi wa habari mtukuka mwenye weledi aliewahi kutokea tanzania na mwenye kipaji cha ajabu .......nchi za magharibi zinamgombea afanye nao kazi na mara nyingi wamem approach ahamie nchi zao na kupewa full presidential packages......tatizo watanzania vipaji kama vya pasco hamvithamini mnaviponda na kuvinanga bila sababu......

Pasco naweza kumuweka level moja na nguli kama Anderson cooper wa CNN,the late Shepard Smith WA fox news,Don Lemon,Thomas Roberts wa MSNBC,Dan Kloeffler wa ABC....ni moja ya vipaji adimu africa....
 
Last edited by a moderator:
mnamzungumzia pasco yupi hapa jf wapo wawili pasco mayala na pasco.
na pasco alikataa kuwa yeye sio mayala alikubali ni mgawa bahasha na kuna pasco mayala
wote wajitokeze hapa watuambie mitizamo yao.

mayala namkubali tangu enzi za dtv itv tbc. ana sauti nzuri na weledi uliotukuka ila hathaminiwi na media owners
 
Back
Top Bottom