mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,366
- 223
Na hiyo kampuni yake ya PPR tutaivunja we mwache. Anatafuta ubunge CCM huyo mzushi hana dili wala nini. Anajiita mwanasheria. Sijui kasomea chuo gani.
na huna akiba ya curency stabillizer (gold) benki kuu, unadaiwa hata ukiiuza hiyo nchi plus hizo barabara zilizojengwa hulipi deni, nimalizie kukwambi tulikuwa huru na barabara 6,000km of paved roads, na sasa tuu watumwa pamoja na 11,154km of paved road za kikwata.
[h=2]Reserves of foreign exchange and gold (US$)[/h] | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Definition of Reserves of foreign exchange and gold: This entry gives the dollar value for the stock of all financial assets that are available to the central monetary authority for use in meeting a country's balance of payments needs as of the end-date of the period specified. This category includes not only foreign currency and gold, but also a country's holdings of Special Drawing Rights in the International Monetary Fund, and its reserve position in the Fund. |
Naanza kabla pasco hajaja:
Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.
Kikwete = 11,154 KM of paved roads.
Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.
Sasa mkuu hata kujenga barabara kwa kodi zetu na nyingine kutuweka rehani bado mnataka kusema ni zawadi? Embu nitajie kazi za serikali ili nione kwamba kujenga barabara ni mafanikio ama sivyo Serikali kutimiza wajibu wake tena kwa viwango vya chini sana haitakiwi kusifiwa bali kuulizwa kwanini haikufikia matarajio...
Hapo kuna neno zawadi?
Kwani hao wa kabla ya Kikwete walikuwa hawana hizo fedha zenu? mbona hawakufanya lolote? fikiri!
Mwambie ukuu wa wilaya kaukosa na hataupata hata kama akijikomba vipi
Hakuna wakati Tanzania kuna reserve kubwa kama wakati huu wa Kikwete.
Source: Tanzania - Reserves of foreign exchange and gold - Historical Data Graphs per Year
[h=2]Reserves of foreign exchange and gold (US$)[/h]
Country 2004 2005 2006 2007 2008 2009 2010 Tanzania 2,175,000,000 2,074,000,000 2,375,000,000 2,910,000,000 2,915,000,000 3,206,000,000 3,687,000,000 Definition of Reserves of foreign exchange and gold: This entry gives the dollar value for the stock of all financial assets that are available to the central monetary authority for use in meeting a country's balance of payments needs as of the end-date of the period specified. This category includes not only foreign currency and gold, but also a country's holdings of Special Drawing Rights in the International Monetary Fund, and its reserve position in the Fund.
Kuna mzazi asiyejisifia mafanikio ya mwanae? huyo labda mchawi, wewe?
Naanza kabla pasco hajaja:
Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.
Kikwete = 11,154 KM of paved roads.
Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.
Asiyejisifia = Hasiyejisifia
Anajisifia kwa kutimiza wajibu wake?!? Angepaswa kujisifu kama kumsomesha mwanaye ingekuwa siyo wajibu wake.
We kweli nzi, kwi kwi kwi teh teh teh!
Hakuna wakati Tanzania kuna reserve kubwa kama wakati huu wa Kikwete.
Source: Tanzania - Reserves of foreign exchange and gold - Historical Data Graphs per Year
Reserves of foreign exchange and gold (US$)
Country
2004
2005
2006
2007
2008
2009
2010
Tanzania
2,175,000,000
2,074,000,000
2,375,000,000
2,910,000,000
2,915,000,000
3,206,000,000
3,687,000,000
Definition of Reserves of foreign exchange and gold: This entry gives the dollar value for the stock of all financial assets that are available to the central monetary authority for use in meeting a country's balance of payments needs as of the end-date of the period specified. This category includes not only foreign currency and gold, but also a country's holdings of Special Drawing Rights in the International Monetary Fund, and its reserve position in the Fund.
kila siku unatoa barabara sema mengine kubwa zima !!!!!!!hizo barabara zimejengwa wapi watu wasizione bana msifanye watu wajinga bwana kama wewe akili yako imefika mwisho kufikiri unawaza maendeleo ni barabara usilazimishe watu kuamini hivi unfahamu achilia mbali mikoani hapa Dar hamna umeme wala maji ambapo ni miguuni mwake ,kama umeshiba ukavimbiwa tembea uone watu wanavyotaabika huko,mimi binafsi ninapoishi ni sh 300 mpaka posta ila serikali haijafikisha umeme ambako vitendo vingi vya ujambazi na ulinzi wawananchi ni mdogo sababu tupo gizani pia maendeleo yamekuwa ya taratibu hata maji hamna inayowagharimu sana raia kuchimba maji na eneo hilo liko kwenye mradi wa serikali toka 2005,usiwe mlamba viatu kutetea ujinga kila siku hapa,karibu 2015Naanza kabla pasco hajaja:
Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.
Kikwete = 11,154 KM of paved roads.
Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.
Nakubaliana na Paschal Mayalla kuwa wengi wa watu humu jamvini wamekuwa wenye kulalama kwa kila kitu na kila jambo. Hakuna hata kusifia japo kidogo.
mawazo yake ni sahihi na kwa walengwa inatubidi tujisahihishe. Kwani hakuna mafanikio bila changamoto.
Kwanini usihoji mafanikio yetu tokea uhuru badala yake umechagua ya kuanzia 2005?
una lako jambo.
Katika kukiri JF inawafanya wengi wasilale speaker hii paschal mayala imetumika ku amplifayi kuwa JF wamejaa walalamishi msipinge tu. Katika mtazamo huu anaingia kundi moja la yule mama wa mikocheni kuponda JF