party people leo wapi?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,851
6,201
Heshima kwenu wadau wote wa burudani, atleast wekend inaanza maana stress za weekdays sio mchezo, wakoloni wanatoa deadline kama hawana akili nzuri,

Tuache yote wapenda burudani leo utakuwa wapi kujipa burudani, wanaowaza kujenga mda wote mnaona kujipa raha ni kupoteza hela msituchakachulie thread, mkata kiu nitakuwa break point k nyama kupata mbili tatu na wanangu kazaa after that tutausoma upepo
 
Afu fundi kanipigia sasa hivi wamemaliza simenti
Dah, mshahara wenyewe ushaisha

Heshima kwenu wadau wote wa burudani, atleast wekend inaanza maana stress za weekdays sio mchezo, wakoloni wanatoa deadline kama hawana akili nzuri,

Tuache yote wapenda burudani leo utakuwa wapi kujipa burudani, wanaowaza kujenga mda wote mnaona kujipa raha ni kupoteza hela msituchakachulie thread, mkata kiu nitakuwa break point k nyama kupata mbili tatu na wanangu kazaa after that tutausoma upepo
 
...kwa mama kamche...then ntasoma upepo, savanna inaweza ikahusika!!
usisumbukie ya kesho!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom