Part Time Employment

Sita Sita

JF-Expert Member
Aug 25, 2008
1,393
511
Wadau hapa nina a friende hapa Dsm (Male) anatafuta kazi ila sio ya kushinda siku nzima.

he prefers field ya research cz ana knowledge ya SPSS, STATA, Access, statistics, and economics.

Kwa wale researchers leave a contact hapa au contact me ntampelekea ujumbe. njonjo86athotmaildotcom
 
Jamani na na mimi napandia hapo hapo.

Natafutpart time hiyo hiyo, ujuzi wangu ni kuandaa taarifa za heasabu. FINACIAl STATEMENTS hasa kwa zile amabzo zimeandaliwa kwenya mfumo wa komputer wa tally na epicor, napatikana bsmsolution@gmail.com
 
Jamani ninaomba mnisaidie na mimi niweze kupata kapart time job, ndio nimemaliza kadegeree kangu ka medicine MD, ninasubiri kuanza internship mwezi wa kumi, niko fiti kila aina ya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom