Part time and full time business/employment

Mh, inasikitisha watu kuwa na mafundisho a ajabu, aliyewafundisha kwamba network business ni freemasons nae kiwango cha kumjua Mungu hakijapanda! as long as una uwezo wa kufanya utafiti kwenye net basi fanya utafiti wa network business ni nini. Hakuna kitu ambacho Shetani hajakiingilia, kuweni na maarifa, msibebwe kimzogazoga, network business ni Genuine na ndiyo iliyowafanya nchi zilizoendelea kuendelea. Angalia crieria za kuingia katika network businesses moja hadi nyingine, kwa mfano: kampuni iko katika biashara kwa muda gani, uwezo wako, na upliner wako kama atakuwa na msaada ili uweze kufanikiwa.

Stay blessed!:smow:
 
Nashukuru kwa maoni yenu wote mliochangia.Ila nimegundua kitu kimoja kwamba watu wengi wamepumbazwa naelimu ya darasani.Hawana udadisi wa mbinu mpya za kujikwamua kimaisha(I mean to achieve financial freedom),But I have one question for You.
Do you want a safe secured job or finacial freedom for the rest of your life.

NB:The Richest people in the world build networks,and all other people trained to look for a job.
Choise is yours.
 
Mimi walinishikia bango wananifata ofisini watu zadi ya watatu wananiambia nitakuwa tajiri mkubwa sana kama nitajiunga...nikawauliza nyie mbona hamjatajirika nikaona wanatazamana nikaona hapani changa la macho....
msiingie kichwa kichwa wana-JF itakula kwenu...Na ukiwapigia tu watakusumbua mpaka ukome
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom