Part!!!part!!!part!!!wana JF wote mnakaribishwa!!

Kiingilio:bure.
Mahali:Nyumbani kwangu UK-DAR
Vinywaji:Non alcohol
Msosi:Nyama choma kwa sana na ugali dona/mtama/muhogo.
Tar/muda:itapangwa baadae kidogo.
Dhumuni(ndege3 kwa jiwe1)Ufunguzi wa kakibanda kangu kapya/siku ya kuzaliwa kwangu/Kujuana na wana JF wote watakao pata nafasi ya kuhudhuria.
Ntapenda kupata idadi kamili ya wageni wangu 30days before!
Ntapenda kupata around 5JF members(kamati)watakaonisaidia kuandaa bajeti.
Narudia tena kwamba ni free of charge.
Nawashukuruni wote na ntaweka taarifa kamili within few weeks.
Have nice weekend every body!

Party kibao za JF nimezikosa. Hii ntajitahidi. Sasa kama ni non alcohol kuna hata ka grocery pembeni nje kakujiboost hata kidogo?
 
Wakuu ningependa tufanye na video shooting au nyie mnaonaje?but huo ni mtazamo wangu tu.
 
Isije ikawa mamluki amepandikizwa humu JF, nitajitambulisha kwa jina langu halisi.
Msinipondee mimi sio mwoga,ni utaratibu tu niliojiwekea.
 
Aaaa speaker, unaniangusha, Namaanisha Mambo yetu ya Rangi ya Mende

Hii kitu inautakatifu gani mpaka muipe majina mengi namna hiyo?mara rangi ya gold,mara ngano,sasa na wewe eti vyombo na rangi ya mende.:..ngoja kamati ntakayoichagua itanisaidia juu ya hilo but ni 10% hiyo kitu kuwepo aise.
 
Sherehe isiyo na kilevi huisha haraka sana. Kwa hiyo tukitoka pale me najitole crate 7 za biere na 3 za soda pale karibu na kwako kuna bar kama 80 na karibu zote ni za ndugu zetu from musoma akina 'achinaadi' wakitaka zaidi watajiongezea wao kwa wao.
 
Uliposema free of charge umenikata stimu, nahisi nina aleji na vitu vya dezo. Thamani ya kitu kipo kwenye price. Weka kiingilio japo buku. Lol
 
mie pia nimepanga kwenda Mungu akiniweka salama, ila jina langu la Nambe, litabaki hukuhuku, kule wakitajwa jf members ntasimama, ila nitajitambulisha kwa jina langu halisi yakhee.....lol
Isije ikawa mamluki amepandikizwa humu JF, nitajitambulisha kwa jina langu halisi.
Msinipondee mimi sio mwoga,ni utaratibu tu niliojiwekea.
 
tueleze kama vinywaji havipo sababu ya imani au kutokana na bajeti yenyewe kama ni swala la bajeti tunaweza kuchangia ila kama swala la imani itabidi tuheshimu taratibu
 
mie pia nimepanga kwenda Mungu akiniweka salama, ila jina langu la Nambe, litabaki hukuhuku, kule wakitajwa jf members ntasimama, ila nitajitambulisha kwa jina langu halisi yakhee.....lol
Karibu sana mkuu!
 
Back
Top Bottom