Parliament Data Retention Policy/ Act!!!!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Mwenye kufahamu anijulishe sababu nimejaribu kucheck Hansard za bunge zilizopo kwenye internet nimekuta zipo Hansard za kuanzia mwaka 2003 na Kuendelea.

Kuanzia mwaka 2003 kurudi nyuma sijaona chochote. Ninachojiuliza ni kwamba utaratibu wa kutunza kumbukumbu electronically ku-record kinachozungumzwa bungeni umeanza lini?? na je, nini kilitokea kwa kumbukumbu za miaka ya nyuma kabla ya utaratibu huo??? bado zinatuzwa manually???

Mwisho kabisa ningependa kusaidiwa kujua kama bunge letu lina library facilities kwa ajili ya wabunge na raia wa kawaida wenye nia ya kujiongezea maarifa juu ya shughuli za bunge letu pamoja na mabunge ya nchi zingine.

Asanteni!!
 
Back
Top Bottom