Papii Demba Cisse

Munru

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
1,340
664
salama wanajamvi,

katika mechi iliyommalizika hizi punde, nimevutiwa sana na uwezo wa huyu jamaa, he is real striker,

hawa jamaa wa CHELSEA ni wamefungwa goli mbili na huyu jamaa ambazo ninaweza kuzi rate kama miongoni wa goli bora kabisa msimu huu wa EPL,

swali la kujiuliza, ivi hapa nyumbani hatuna akina Demba Cisse ??

kama wapo mbona hatuoni mambo kama haya ??

kweli wachezaji wetu wa kitanzania muongeze bidii, wachezaji wazuri wanatengezwa na kupikwa, wanapikwa kwa mazoezi na kujituma

tunataka viwango hivi vya DEMBA-CISSE hpa kwetu pia
article-2138571-12E4A97B000005DC-831_634x411.jpg

cq5dam.thumbnail.490.338.margi  n.png




If the first goal was impressive, the second was sensational.

Papiss-Cisse-vs-Chelsea-300x225.jpg


WAKUU NADHANI HILI NI GOLI LA MSIMU
 
Last edited by a moderator:
jamaa ni noma mkuu!!!

kama unaamini kwenye ushirikina lile goli la pili unaweza ukadhani ni ndumba, ila jamaa ni mafundi sana,

that is the best goal so far
 
lile la pili lazima litakuwa la msimu.Kibongo bongo kamati za ufundi zinanguvu kuliko kocha.Utasikia mganga kasema leo tusifanye mazoezi tuzungukwa kwa style hii hakuna kutoka.
 
lile la pili lazima litakuwa la msimu.Kibongo bongo kamati za ufundi zinanguvu kuliko kocha.Utasikia mganga kasema leo tusifanye mazoezi tuzungukwa kwa style hii hakuna kutoka.

mkuu yaani hapa still nipo nacheki sky sport kwa ajili ya lile goli, yaani mpaka sasa ivi sieli jamaa anatarget kali kiasi gani, yaani nlishtukia kitu kunyavu, then zile dk 10 nlihisi blues watarudisha, ila jamaa aliwalegeza kabisa
 
lile la pili lazima litakuwa la msimu.Kibongo bongo kamati za ufundi zinanguvu kuliko kocha.Utasikia mganga kasema leo tusifanye mazoezi tuzungukwa kwa style hii hakuna kutoka.

Lile ni la mlongo mmoja (decade). Maana ukiwa katika eneo la kushoto mwa goli karibu kabisa na pembe ngumu kufunga kwa mguu wa kushoto (Kiasi kwamba mguu wa kulia ndo kabisa hauwezi kufunga), Lakini Mr. Cisse kafunga kwa mguu wa kulia, tena alimaanisha kufunga wala hakubaatisha, ukiangalia kwa makini jinsi alivyoupiga mpira ule.

Kazi nzuri Mr. Cisse.
 
it was an astonishing goal...surely the goal of the season...!! bravo Cisse, Bravo Allen Pardew, Bravo the Magpies.

huko kwenye La Liga, vijana wa Real Madrid nao wamechukua ubingwa rasmi leo.
 
Hakika huyu mshambuliaji ni

hatari sana
Lile bao kama halitaweza kuwa la wiki kote ulaya Mi cjui!

Ila nina hofu halitaifunika lile la wiki iliyopita ya mshambuliaji wa L'pool FC lile lilikuwa tabu tupu kwa kipa!

Katikati ya uwanja mpk goli! Mmmh! Ngoja wadau waje.
 
Daaah! lile goli la pili kunamkono wa mtu sio bure maaana bonge la bao angekuwa muingereza angeongelewa mwaka mzima kwenye vyombo vya habari.
 
Dah sikuiona hii mechi..lkn nimeangalia youtube asubh hii huyu jamaa ni noma sn aise...
 
Back
Top Bottom