Papic anaishi kwa mshumaa na maji ya madumu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Sikia hii; jamani nimeamua kuirusha hii maana nayo ni habari, eti Kocha wa timu kubwa kama Yanga hajalipiwa umeme na maji hadi akakatiwa....na kwamba timu haijafanya mazoezi kwa siku saba kutokana na UWANJA kujaa maji huku ikjiandaa kucheza na Zamalek!!!
 
Wapi MANJI?? Ridh1 etc? hadi wakati wa usajili tu??
 
Papic kaingia choo cha kike, huo msala abgemuachia Sam Timbe tu
 
Lile shati lake la Bluu bahari itabidi asipige pasi sasa maana ilikua kauka nikuvae nadhani!!! hakusoma alama za nyakati!!
 
Wapi Wanayanga wenzangu tumchangie mwalimu wetu apate japo luku ya wiki hii wakati changamoto zake zikiendelewa kutafutiwa Manji? Yamkini anashindwa kusoma hata programu za mazoezi kwenye wavuti kwa kukosa umeme
 
Pole Kocha Papic na pia welcome to third world countries.....hayo matatizo ya maji na umeme ni partof life huku kwetu uswazi.

Angalia usije kuta wamekutupia virago nnje kwa vile Yanga hawajlipia pango la "crib" unayoishi huko uswazi.
 
....Itabidi kamati ya nidhamu ifanye kikao cha dharura na kumfukuza huyu kocha kwa kutoa SIRI za club, wababaishaji hawakawii kuficha udhaifu wao kwa jina la nidhamu...
 
pole kocha papic na pia welcome to third world countries.....hayo matatizo ya maji na umeme ni partof life huku kwetu uswazi.

Angalia usije kuta wamekutupia virago nnje kwa vile yanga hawajlipia pango la "crib" unayoishi huko uswazi.

kwao kunani?
Mbona hatimui
inaelekea kazoea
swaga za kigumu
ndo mana anaona
kawaida tuuu tehe
 
Yamkini anashindwa kusoma hata programu za mazoezi kwenye wavuti kwa kukosa umeme[/SIZE][/FONT][/B][/COLOR][/QUOTE]

sidhani kama alikubali kusaini contract bila kuzingatia consideration,terms & conditions of the contract kwa sababu kama lugha iliyotumiwa kuandika contract ingekua unknown kwake asingesaini contract hiyo na kuwepo yanga hadi leo.
 
Ina huyu papik haoni mafuriko? Kaambiwa nguzo za umeme kwenda kwenye gesti aliyopangia zimeanguka yeye kaamua kuitia aibu yeboyebo hadi kwenye magazeti. Sasa subiri kutimuliwa
 
Papic kuna wa2 wanamkomoa pale yanga na hao wa2 walichukia kuondoka kwa sam timbe pale yanga coz mara ya 1 papic aliondoka kwa nyodo so papic analo
 
Yanga pia wanalalmika kwamba jamaa anaishi maisha ya kisharobaro sana ndo maana anawasumbua.Wameshamwambia alete familia yake huku ili apunguze starehe lkn hataki kwani anajua kuwa familia itamfanya aishi kwa discipline sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom