Paper imevuja/ a.k.a fake

da nakumbuka wakati nasoma Nyakato sec,ilikua inakubalika kwa mapractical pekee..wanafunz toka Iungo,Mugeza,kahororo na omumwani walikua watukabari.ila kisa ninachokumbuka kipindi niko A level nilitumiwa maswali feki a.k.a posibo usiku uleule nikampigia dogo wa mchizi wangu (alikua anasoma form 4) nikampa maswali na majibu..akakomaa kinoma kesho yake akakuta ni feki haswaa hamna swali hata moja! Matokeo yalipotoka akapata div 4,hadi ninapoongea sijawahi kwenda kwao na kutokana na aibu iliyonikuta naogopa kupokea simu yake.
 
Ulimnywesha sumu.
 
Pepa ya geo fm 4 2008, ilivuja mikoa yote,kitu cha Soil profile, cha ajabu Dar walikuja kutubadilishia paper asubuh. Watu walitambaa na D za hatari.
 
vichwa huwa hawajitangazi mkuu!

umenkumbusha mbali sana mkuu,nakumbuka ilikua 2004 2kiwa 2napga paper ya 4m 2 enzi hzo,ebana 2kiwa nje 2najiandaa kuingia kwenye paper ya mchana{ilikua history}akaja mchzi flani akiwa na paper akasema wa2 wapge donation ye awavutie paper,bac wale wenye pesa zao wakachangashana harakahara me na mchzi wangu m1 hv 2likuaga ni wa2 ambao ha2naga pesa bahati mbaya,bac washkaji wakajtenga wote icpokua me na msela,u cn imagne hw t filz afu shule ya mixture,wel 2kapeana moyo na msela wangu kwangu 2maini le2 pekee ni mungu,c ukafka mda wa kuingia kwenye paper,washkaji wakawa na mchecheto wakuipga hyo paper wakidhan ndo kama ile waloisov,huwezi amin kuna jamaa alikua pemben yangu,ilimchukua takriban lisaa limoja kuanza kufanya huo mtiani,kumbe k2 ilikua tango pori,thanx God i ws the 1st one kwa hyo paper na msela wangu akawa wa pili 2kipishana max 1 tu.

Kijana walk the talk...
 
Mi nlikuwa kichwa ikitoka paper naletewa niwafanyie niwape majibu,nilikuwa sihangaiki kabisa

as a general rule wahaya wanajisifia imekua hivyo mpka leo.sasa with exception to that ww utakua muhaya kama sio basi una mambo ya kitoto.ooh mie nilikua hivi ooh mie nina hiki ooh mie najua hili so what?kama uliwasaidia mpaka tujue?usije sema naleta ukabila huo ni ubinafsi na majungu mpaka maofisini.mzushi mkubwa eti ulikua unawasaidia kilaza mkubwa ndo ulikua unawapa sumu na vijana wa watu hawana maziwa kutoa hizo sumu.but in the other side u might be right coz wote darasa lenu lilikua la vilaza si ndo lile la BWABUKI BUKOBA mlikua 23 sasa kwenye vilaza wewe ndo ukawa unaonekana unajua yani kwa kifupi mwenye chongo ni afadhali kuliko kipofu
 
maisha yangu yote ya shule nimekua nikipewa tango pori...naisi kitu cha ukweli hakunaga.
 
Back
Top Bottom