Papaa Msofe Arudisha kiwanja alichotapeli

Wabongo bana tunakaa kulaumu tu bila kujua sababu,issue yule mama aliweka eneo bond na kampa musofe hati feki ya kiwanja, sasa mda wa kulipa tayali mama kamgeuzia jamaa kibao na mama kwa kuwa nae mpigaji kacheza na media serikali na wanaharakati ukweli msofe ndio kapigwa mil 60. Musofe kachia kiwanja cause inam cost kwenye issue zake, wengi tunaponda issue tusizojua jamaa mpigaji lakini ni kwa wazungu tu kwenye net ambao wanatutukana kila siku wanaigeria wanapesa kweli ni upigaji wakina manji, rostam,jitu patel na waindi kibao wapigaji,so wana jamvi kabla ya kukoment tujue na sababu. Ok weekend njema.
 
wewe ndio msemaji wa msofe??
Mbona viwanja na majumba mengi tu ametapeli?
 
Wabongo bana tunakaa kulaumu tu bila kujua sababu,issue yule mama aliweka eneo bond na kampa musofe hati feki ya kiwanja, sasa mda wa kulipa tayali mama kamgeuzia jamaa kibao na mama kwa kuwa nae mpigaji kacheza na media serikali na wanaharakati ukweli msofe ndio kapigwa mil 60. Musofe kachia kiwanja cause inam cost kwenye issue zake, wengi tunaponda issue tusizojua jamaa mpigaji lakini ni kwa wazungu tu kwenye net ambao wanatutukana kila siku wanaigeria wanapesa kweli ni upigaji wakina manji, rostam,jitu patel na waindi kibao wapigaji,so wana jamvi kabla ya kukoment tujue na sababu. Ok weekend njema.

Mkuu kaa utulie kwanza, then tupe hizi habari taratibu ili tukuelewe vizuri!! Ni habari zingine wanajamvi tungependa kuzijua na kuchangia mkuu mawazo.
 
Wabongo bana tunakaa kulaumu tu bila kujua sababu,issue yule mama aliweka eneo bond na kampa musofe hati feki ya kiwanja, sasa mda wa kulipa tayali mama kamgeuzia jamaa kibao na mama kwa kuwa nae mpigaji kacheza na media serikali na wanaharakati ukweli msofe ndio kapigwa mil 60. Musofe kachia kiwanja cause inam cost kwenye issue zake, wengi tunaponda issue tusizojua jamaa mpigaji lakini ni kwa wazungu tu kwenye net ambao wanatutukana kila siku wanaigeria wanapesa kweli ni upigaji wakina manji, rostam,jitu patel na waindi kibao wapigaji,so wana jamvi kabla ya kukoment tujue na sababu. Ok weekend njema.

Msofe ni tapeli wa madini na viwanja hicho kilichorudi ni moja ya mia watu bado wanalia na tapeli hawa msofe na muzamil, viwanja vingi mbezi wamevitapeli kwa kutumia maofisa wa wizara ya ardhi,

Mimi naunga mkono juhudi za wanaharakati na itv huo ni msaada tosha, msofe mbona oystabey hauji kutapeli?? Kwanini huko mbezi tu??
 
jamani mwenye picha za papa Msofe aziweke hapa wengine huwa tunamsikia tu.

Picha ya Marijani Msoffe maarufu Papaa Msofe akiwa na Lady JayDee. Picha nimeipata kutoka blog ya EastAfricaTV.
 
Attachments

  • msoffe.jpg
    msoffe.jpg
    15.8 KB · Views: 82
Wabongo bana tunakaa kulaumu tu bila kujua sababu,issue yule mama aliweka eneo bond na kampa musofe hati feki ya kiwanja, sasa mda wa kulipa tayali mama kamgeuzia jamaa kibao na mama kwa kuwa nae mpigaji kacheza na media serikali na wanaharakati ukweli msofe ndio kapigwa mil 60. Musofe kachia kiwanja cause inam cost kwenye issue zake, wengi tunaponda issue tusizojua jamaa mpigaji lakini ni kwa wazungu tu kwenye net ambao wanatutukana kila siku wanaigeria wanapesa kweli ni upigaji wakina manji, rostam,jitu patel na waindi kibao wapigaji,so wana jamvi kabla ya kukoment tujue na sababu. Ok weekend njema.
............... Msofe apigwe Miln 60. ???? wacha ujinga wewe !! nenda kacheze kiduku !
 
serikali inamchekea sana huyu jamaa,watu tunatafuta pesa na viwanja kwa nguvu yeye anataka kuja kuchukua kiulaini,kama mwanaume wa ukweli fanya kazi utoke jasho,sio kutafuta wapi pabovu ili utapeli

yaani huyo jamaa ningekuwa ninajeshi ningemmaliza kama alivyomalizwa yule polisi wa kenya na wauza unga

wanakera sana hawa jamaa
 
Asante Papaa Msofe kwa ufafanuzi wako, lakini nina mashaka na hii scenario- kama usemavyo ndivyo, kwa nini maelezo hayo PMsofe asiyaeleze kwenye media kama mama alivyolalama?!, nashawishika unatetea uongo.
Wabongo bana tunakaa kulaumu tu bila kujua sababu,issue yule mama aliweka eneo bond na kampa musofe hati feki ya kiwanja, sasa mda wa kulipa tayali mama kamgeuzia jamaa kibao na mama kwa kuwa nae mpigaji kacheza na media serikali na wanaharakati ukweli msofe ndio kapigwa mil 60. Musofe kachia kiwanja cause inam cost kwenye issue zake, wengi tunaponda issue tusizojua jamaa mpigaji lakini ni kwa wazungu tu kwenye net ambao wanatutukana kila siku wanaigeria wanapesa kweli ni upigaji wakina manji, rostam,jitu patel na waindi kibao wapigaji,so wana jamvi kabla ya kukoment tujue na sababu. Ok weekend njema.
 
Wabongo bana tunakaa kulaumu tu bila kujua sababu, issue yule mama aliweka eneo bond na kampa musofe hati feki ya kiwanja, sasa mda wa kulipa tayali mama kamgeuzia jamaa kibao na mama kwa kuwa nae mpigaji kacheza na media serikali na wanaharakati ukweli msofe ndio kapigwa mil 60........

Mbona huu uongo hauna muelekeo? Ingekuwa mama ameweeka eneo hilo bond na kumpa Msofe hati feki ya kiwanja tena yeye angeogopa nini, si hati original anazo mwenyewe?

Hebu tumia akili kijana.
 
Ni nzuri kwa mama Mlay. Hii tabia ya kukopa kuweka Bond mali halafu hata hujalipa mali yako inataifishwa nadhani ni Moja ya Money Laundering mchezo huu umeenea sana hapa dsm. Kuna marehemu mmoja Mzee Makaranga wa Ilala alitajirika kwa kudhulumu watu mali zao kwa michezo hii ya kukopesha na ku repossess alikufa vibaya(hii imani yangu) kwani alidhulumu mali nyingi za watu. Serikali ifahamishe wananchi kwamba huu si utaratibu mzuri, watu wakope kwenye Financial institution.
 
mi nilizani kanunuliwa kiwanja na msofe kwa jinsi nilivyoona jana kumbe jamaa ndo yupo hvi kwel mjin shule
 
Ni nzuri kwa mama Mlay. Hii tabia ya kukopa kuweka Bond mali halafu hata hujalipa mali yako inataifishwa nadhani ni Moja ya Money Laundering mchezo huu umeenea sana hapa dsm. Kuna marehemu mmoja Mzee Makaranga wa Ilala alitajirika kwa kudhulumu watu mali zao kwa michezo hii ya kukopesha na ku repossess alikufa vibaya(hii imani yangu) kwani alidhulumu mali nyingi za watu. Serikali ifahamishe wananchi kwamba huu si utaratibu mzuri, watu wakope kwenye Financial institution.
alikufaje?
 
Back
Top Bottom