'Papa wa Kanisa Katoliki Atakayefuatia Atatoka Afrika'

Inawezekana kwani kanisa katoliki i kama ccm kazi yao kufisadi vitu.wanagombania kunywa wiski,kiongozi wa dini anakunywa pombe wamefulia kidini.
mbona hujasema wakatoloki wanatoa huduma za jamii kuliko taasisi nyingine yeyote? si ajabu wazazi wako wanatibiwa kwenye hospitali inayoendeshwa na wakatoloki huko kijijini kwenu.
 
White people will never pray to a black god. The Pope is such, and thus, can never be black in the eyes of catholics. Besides, Africans are "second class" citizens when it comes to catholicism. Hivi mnafikiri you matter in Vatican?

You are just important in the justification of the sphere of influence that the church desires to have. Never will you run the show in Rome. Never. Period.

Ngoja Nikatambike!
My 0.2
 
Papa anaweza kuchaguliwa kutoka popote pale, iwe ni Amerika, Asia , Afrika au Ulaya. Hakuna mipango mipango kama tunavyoweza kufikiri kwa mtindo huu. Ninajua waandishi wa habari walivyozoea 'kuuza' habari zao, yawezekana kukawa na 'exaggerations' fulani juu ya maneno wa huyo aliyezungumza kwa kuwa mzungumzaji anajua fika namna papa anavyopatikana.
 
Hilo usahau kwa tarifa yako kulikuwa na kitu kama hicho alipokufa yule P wataliana na wazungu wengine wakasema hawatolikubali hilo ,kuna baadhi ya wataliana walifika kusema haitawezekana kumuweka mtu mwenye sura ??? nafunika kombe kwani binafsi ni mtu mweusi wa kiafrika
 
If I was an African Catholic (or a God worshiper, for the sake of the argument) I wouldn't stop at the Pope. That is not enough to convince me of equal access to god's dynasty. And ain't talking about an Egyptian black or people like Kakobe. Those don't count…I would have demanded a full fledged prophet, with his/her own new "book".

And why not?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom