Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?

Pia hawa ma pedeshee huchukua binti yeyote aliye kwenye mashindano ya umiss. LUNDENGA hupewa pesa ndefu kumpa ruhusa binti kupata dinner na pedeshee!pia hili kundi hutumiwa na vigogo serikalini kuwatafutia wanawake kuwapeleka mpaka hotel,kigogo kazi yake hua kukojoa na kuondoka.pia cheque za ufisadi hupitia ktk akaunti zao.mfano kimambi muuza unga alipofariki tibaigana alilia sana!
kimambi alikuwa anauza unga?????????????
 
Bongo wahalifu wa ukweli wanachekewa na Jeshi la polisi kwa sababu polisi njaa kali na karibu polisi wengi kama sio wote ni sehemu ya mtandao wa wahalifu (wezi).
Na wapo kwa ajili ya kuchumia tumbo na sio kutumikia wananchi kama mikataba yao ya kazi inavyoeleza.
 
Achane Majungu.......kwani ukijua kama alikuwa tapeli au alikuwa mwezi itakusaidia nini? Acheni mtima nyongo...nyie sio police wala nini.............majungu tu.........hapa kwenye huu mtandao anatakiwa great thinkers weeee toka kafanye kazi nyingine
Shemeji yako nini? mbona imekuuma sana polee, kwenye ukweli kutabaki hivyo hivyo.
 
Ndio huyo kati kati akimwaga alichovuna:

mus.jpg

................. ukitilia maanani thamani ya hela yetu na mtindo wake wakugawa pesa .................... daaaaah !! jamaaaa anadhalilisha madafu kweli !
 
Sio kwamba nguvu zimeisha, ila wameshtukiwa - hawapata wateja tena. Msofe ana biashara ya Travel Agency inaitwa Aucland Tours na Muzamil ana tours inaitwa Muzasha. Ally mwarabu (alikuwa na marehemu Mwakamele wa Airport night park) anaendesha kampuni ya Aurola security.

Ila kila dhuruma ina malipo yake, yule kijana na mama yake (wa Israel na walikuwa wageni wa mamna Anna) walimwita Muzamil wakutane China waongee biashara ya dhahabu, jamaa akalipiwa kabisa tiket. Alipofika huko akaitwa sehemu wafanye maongezi ba huko ndo alikutana na huyo kijana. Kulikuwa na mabaunsa waliomshika na kumpiga sindano iliyofanya zakari isinyae hapo hapo. Atakuwa anachuchumaa kama mwanamke akitaka kukojoa sasa.

Msofe labda mchawi yeye hajakutwa na dhahama. Ana mkono kwenye vifo vya wale vijana wa kilombero kwani ndiye aliwalengesha kwa Zombe.
 
Hao jamaa ni matapeli tu, ila serikali inajua nini kunaendelea, kwani muzamili wanamlinda sana, tena wakati wakitapeli wanakuwepo maofisa wa ikulu,Wizara ya mambo yandani ya nchi, TRA, na watu wa clearing and forwarding. Chakushangaza hivi raisi Kikwete na wewe unanunuliwa kama mkuu wa kituo cha police oystabey? Kawe?, tegeta?
Wachina na wazungu wanatapeliwa kila siku. Rais wa nchi hii upo wapi? Juzi nilikuwa japan kila mtu nilejaribu kuongea nae alikuwa na wasiwasi na Tanzania hasa biashara ya Madini, .kurugenzi wa usalama wa taifa sikuhizi makaliyenu yakowapi Msofe na Muzamil wanawashinda nini? Lawrence masha alininuliwa wakati alipokuwa Waziri wa mambo ya ndani je Nahodha nae kanunuliwa? Au hizo pesa wanzochangia chama ndio zinazo waziba midomo.

NCCR mageuzi, Mtikila wote wanasaidiwa na muzamil fedha, Mtikila alisaidiwa fedha za kesi, NCCR mageuzi walipewa milioni miamoja hamsini kwenye uchaguzi uliopita. Je chadema mtalinyamazia hili?

Nakumbuka reaisi aliahidi kumaliza ujambazi na utapeli ambao unaweza kudidimiza uchumi wa nchi.

Kamanda kova alipokuja Dar alidhibiti lakini mara baada ya kupenyezewa bahasha alinyamaza kimya.

Je msajili wa makampuni nchini anahuzika? Maana hawa jamaa wanafungua makampuni na kisha wanayafunga baada ya kutapeli copper cathode face.

Je wanajamii tutanyamaza?
Je serikali ya Tanzania itanyamaza?
Je malaka za usalama zitanyamaza mpaka FBI waje kutusaidia Kazi?
 
Tena huyu muzamili yeye ndio alishapiga hatua kubwa san yani utapeli wake umeadvance, sikumija alituita wanahabari kwenye chakula cha usiku pale regency park hotel, yani wafanyakazi wake tu wanashinda staff wa BOT tena wasomi kwenye fani ya utalii na utawala ukiwaona utadhani hawajui kuwa boss wao ni tapeli, kumbe chama moja, kinachoshangaza watu wasema kuwa Muzamil hana nguvu za kiume kweli? Mbona anabadilisha mabinti kilasiku? Tena mamiss ndio usiseme.
 
yule mama aliyekamatwa majuzi kwa soo la unga ni msaada wa FBI,.walimtrack kila movement yake na kazi akapewa kamanda wa polisi wa tanga...kutoka chanzo cha kuaminika
 
Pia hawa ma pedeshee huchukua binti yeyote aliye kwenye mashindano ya umiss. LUNDENGA hupewa pesa ndefu kumpa ruhusa binti kupata dinner na pedeshee!pia hili kundi hutumiwa na vigogo serikalini kuwatafutia wanawake kuwapeleka mpaka hotel,kigogo kazi yake hua kukojoa na kuondoka.pia cheque za ufisadi hupitia ktk akaunti zao.mfano kimambi muuza unga alipofariki tibaigana alilia sana!
Hapo kwenye red huyo mtu ndie babake dada wa Uturn au kama ndioe baba yake basi tumsilaumu huyo binti
 
Wiki iliyopita kuna mchimbaji mwenzetu wa Tanzanite anaitwa Onesmo Kituli alipigwa risasi kwenye nyumba alakipanga Dar na amezikwa Singida juzi.

Haya mauaji yanaweza kuwa yamefanywa na Alex Massawe kwe Kushirikiana na Papa Msofe kwani walikuwa na kesi mahakamani kuhusu nyumba ya Kituli aliyodhulumiwa na Massawe alafu akauziwa Msofe na Massawe. mwenendo wa hii kesi ilionyesha wazi kabisa kuwa Kituli atashinda. Naona jamaa wakaamua kuchukua kazi ya mungu ya kutoa roho ya Mchimbaji ili waidhulumu mali ya jamaa.

Lakini wakumbuke kuwa malipo ni hapa hapa duniani.

Mungu ailaze mahala pema roho ya Onesmo Kituli
 
Yeye pamoja na wafuatao chini ni matapeli wakubwa wa dhahabu na shaba feki toka Congo
Abdul Mteketa(sasa mbunge wa kilombero)
Papaa Mabeba
Ndama mtoto wa Ng'ombe
Mkenya Mmmoja akiitwa Mathias Mattako
Muzamil Katunzi
Chacha Mapessa

Duuh hayo majina, ukitajiwa tu hata kama unataka kufanya siriasi business lazime usite
 
Yaani raia wa kawaida wanaweza kuwa na taarifa nzuri za hawa matapeli lakini geshi ra porisi rimerara????sasa ulinz shirikish uko wapi????polisi jamii imelalia wap????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom