Papa Benedikt akubali matumizi ya kondom kwa kesi maalumu

papa baada ya kuona kanisa linaanza kupoteza wafuasi wake kwa kasi ya ajabu kutokana na kashfa nyingi za uzinzi na ufataki, anadhani kuruhusu kondom kutasaidia kuliokoa kanisa ISIPOTEZE imani kwa wafuasi wake!!!
 
Why do people have to seek permission from an elderly German man living in Italy to protect themselves from a deadly disease? And don't you find it odd that a man who's never had sex (supposedly) is now given to tell people what to wear during sex?

I've never really understood the objections against contraceptives by the Catholic church in particular. Is contraception expressly forbidden in the bible, or do are they just interested in seeing more church goers born?

Their irresponsible and stupid doctrines against condoms have costed many lives, and I would imagine some lives could have been saved had they refrained from shoving their Iron Age doctrines to their followers. SMH

We should all agree that religion is for fools.
 
Papa hajui nini maana ya Ukimwi, kusema ukweli, hajaelewa anachosema. Ninasema hivi kwasababu wao walikuwa wanakataa kondom kusema kuwa zitakuwa zinasapoti ngono, sasa ngono za ma prostitutes si ngono hata kusema kuwa makahaba ndo wanaweza kutumia? that means anawaruhusu makahaba waendelee tu kungonoka kwa kutumia kondom, na watu wengine wasio makahaba wasitumie condom...ninasema hajajua kitu na ameongea bila kufikiria kwasababu, ASILIMIA KUBWA YA WATU WALIOATHIRIKA NI WALE WALIO KWENYE NDOA, na si wale walio bachelor, na kati ya makahaba na wasio makahaba, walioathirika wengi ni wasio makahaba kuliko makahaba...ilishawaifanyika research ya makahaba hapahapa tz, ikaonekana kuwa, makahaba wengi hawajaathirika ukilinganisha na wasio makahaba....

ukimwi ni mwingi kwa walio kwenye ndoa, na ukimwi wa kwenye ndoa ni mbaya sana kwasababu unaambukiza double double...siyo single single kama ilivyo kwa wale wasio kwenye ndoa....cha maana NI KUPIGA MARUFUKU CONDOMS, anayetaka kufa akifuate kifo yeye mwenyewe kwa kufanya ngono, asiyetaka na ajitunze amheshimu Mungu. labda angesema kwa masuala ya uzazi wa mpango hapo ningemwelewa, lakini wao hata uzazi wa mpango wanaupinga...wanataka dongea watoto upate hata 20...watu wengi hasa nchi zetu hizi hawajui uzazi wa mpango, mama akijifungua hawawezi kumsubiria miaka miwili bila kufanya ngono na mkewe, akishindwa ndo anaenda nje, akifanya hivyohivyo hajui hata tarehe basi anaweza akaunganisha watoto wanaonyonya wawiliwawili...KAULI GANI ILE JAMANI, hana washauri huyu? Naongea kwa confidence namna hii nikimkosoa kwasababu yeye si Mungu, ni mwanadamu mwenzetu tu yule na hapa naona ameteleza.
 
Back
Top Bottom