Papa alipoamua kudrive mwenyewe

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
May 24, 2008
3,736
2,137
Siku moja Papa Benedict 16 aliamua kwenda kwenye Matembezi akamchukua dereva wake lakini akamwambia amwache andeshe mwenyewe kufika njian akakutanna na trafic akamsimamisha kuangalia vizuri akagundua ni papa aah akamwita mkubwa wake, mkubwa wake nae kuangalia akakimbia yule trafic ikabidi amuulize mkuu wake mbona umekimbia mkubwa wake akamjibu kama Papa anamwendesha yule mtu basi kama sio Yesu ni Mungu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom