Pantoni ya zimika ktkt ya bahari kigamboni na magogoni!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Jamani tunakufaaa! Pantoni limezima ghafla ktkt ya bahari

Nitaendelea kuwajuza kwakuwa nipo ndani ya hiyo pantoni! Hali ni ya taharuki sana!!!
 
pantoni jipi? Jipya au la zamani?
Kikwete atimize ahadi, tunahitaji daraja Kigamboni
 
Back
Top Bottom