Pangani jamani tunahitaji maendeleo

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Tunahitaji jithada za makusudi kuirekebisha PANGANI mji mkongwe wenye vivutio vya kila aina. Mheshimiwa RAIS tunaomba barabara DAR-BAGAMOYO-PANGANI-TANGA iwekwe lami. Tunashukuru kwa kuvuko cha uhakika pale pangani, umetekeleza AHADI. Fantastik KIKWETE.
 
pangani yenyewe wakati wowote inamezwa na bahari!sea level inazidi kupungua kadiri siku ziendavyo!ww unajua kwa nn mahali popote pa kivuko hununuliwa haraka?ufisadi wake huwa ni papo kwa hapo hivyo wahusika wa manunuzi hufanya haraka kununua toka germany!
 
watu wapangani ndio hawataki maendeleo! miaka yote hyo iliyopita mumeona kivuko tuu ndio maendeleo? badilisheni upepo wa uongozi. (hivi stendi ya pangani ilisha jengwa?) niliiona nikasikitika sana.
 
Back
Top Bottom