Panapofuka Moshi panaficha Moto - maluv dav!!!

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,962
2,138
Wandugu wapenzi, ebu naommba mwongozo, nimpe ushauri gani huyu baba aliyeko ndani ya maji akiwavuta hao farasi anaonekana kuchanganyikiwa maana Panapofuka Moshi panaficha Moto; ajira yake hii ilimtia majaribuni na mafadhaiko makubwa.

truly-weird.jpg
 
Yeye anavuta farasi, kaonaje yanayoendelea nyuma yake? Avae mawani ya mbao kisogoni basi aache kuona rear view.
 
Yeye anavuta farasi, kaonaje yanayoendelea nyuma yake? Avae mawani ya mbao kisogoni basi aache kuona rear view.

we huoni mibusu motomoto hiyo lazima iambatane na ngurumo kali kama misonyo vile
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom