Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
Salaam wanaJF!
Hii kampuni kwa kweli ninapata shida sana juu ya uwepo wake na mchango wake kwa TZ. Hivi mnafahamu hii kampuni ndo main supplier wa natural gas ambayo inatolewa huko Songosongo na SONGAS (PANAFRICAN ENERGY LTD ni one of the major shareholders wa SONGAS).
Hawa PANAFRICAN wana supply gas TBL, SBL, Twiga Cement, YUASA, Murzah Oil, Detergents and Soap Industries, KAMAL Steel, KIOO LTD, Simba Steel, SILAFRICA LTD (mali ya Somaiya), NIDA Textile, URAFIKI Textile, TCC, Bora Industries, OK Plastics, Bakhresa Food and Processing Industries etc.
Sasa kwa makampuni yote hayo, PANAFRICAN wanatengeneza billions of money ambazo TANESCO ingeweza kupata kama uzalishaji na usambazaji wa gesi ungekua chini yao.
Ila kwa sababu BWM aliidhinisha mkabata mbovu ulioipa mandate SONGAS kuwa na power over our own gas, ndo mana tunaona upupu huo. Yaani eti hata TANESCO wanaununua gesi kutoka PANAFRICAN via SONGAS!
Hii nchi kwakweli mpaka tuingie barabarani kuutoa utawala dhalimu wa CCM ndo angalau tunaweza kua na dira ya namna ya kutumia rasilimali zetu kwa maendeleo ya taifa letu.
Amandlah.