Pamoja na yote, Dr. Slaa bado Atatinga Bungeni soon!

Kwa vile JK ni kichwa cha panzi kamwe hatapenda mtu mwenye upeo kama wa Dr wa ukweli Wilbrod Slaa awe bungeni kwani yeye na serikali yake ya vilaza hawana uwezo kujibu hoja zilizokwenda shule za Dr Slaa.

tehe tehe tehe
 
Kama Jakaya atafanikiwa kupata hiyo miaka mingine mitano atajaribu kutaka kujenga REGACY ya presidency yake na sintaona ajabu kama atamteua DR. kuwa mbunge baada ya kushauriwa na wazee wa busara; na siku hizi anasikiliza ushauri ama sivyo asingemkubali Bilali kama mgombea mwenza safari hii. Pia Jakaya anaziwinda sana zile hela za Tuzo ya MO IBRAHIM kwa hiyo this time around nadhani atakuwa mtu tofauti na hapo awali. Tungoje tuone yote yanawezekana!!
 
Kurudi bungeni ana weza kurudi hata kwa nafasi za kuteuliwa ambazo Chadema wata kuwa nazo. Swala siyo kama ana weza kurudi ama la. Swala ni kwamba je arudi? Au akazanie kuimarisha chama? Uamuzi wowote una takiwa kuwa wake biafsi ila siyo mbaya tuka jadili nafasi ipi Dk. Slaa anaweza kuchukua ambayo itamfaa zaidi na kunufaisha taifa zaidi.

Kwenye thread moja mkuu Rev. Kishoka alitoa suggestion kwamba Dk. Slaa ndiyo awe mweyekiti mpya wa Chadema na Freeman Mbowe ajiulzulu nafasi hiyo na kubaki na ubunge. I agree with the Rev. Mh. Slaa ana faa zaidi kuwa mwenyekiti wa Chamdema na nina sababu kuu kwa nini naona hivyo.

1. Nafasi ya mwenyekiti nfiyo sura ya chama. Mtu yoyoye akiwa mwenyekiti yeye ndiyo moja kwa moja anakua sura wa chama chake sawa sawa na raisi anavyo kuwa sura ya serikali nzima. Ukweli ni kwamba Slaa ni more charismatic na ana kubalika zaidi ya Mbowe. Tumeona kwenye uchaguzi huu kwamba pamoja na Mbowe kuwa mwenyekiti wa chama alikua na effect ndogo sana ktk kumnadi mgombea wao.

2. Kwa sababu Slaa ana mvuto zaidi ni wakati wa kucapitalize umaarufu alio nao Slaa. Kama mwenyekiti wa chama anaweza kutumika kuvuta zaidi wanachama wapya na kunadi sera za chama. Yeye ndiye awe sumaku ya chama.

3. Slaa ana hulka ya uongozi zaidi. Ana ile presence.

Lakini haya ni maoni yangu tu. Kama nilivyo sema ni juu ya Slaa mwenyewe kuchagua ni nafasi gani ambayo anaona sasa anastahli kucheza ila kama mwenyekiti nitamkubali sana.
 
Kama kweli Slaa kakomaa kisiasa hangethubutu kumnadi Kikwete kama gaidi na kuwakose heshma hata wazazi wake,Muungwana akiudhiwa hutabasamu,huyu ndio kiongozi,sio Slaa kutabasam hana ila majungu na fitna tu,je siasa nikutuka wazazi wamwenzako? Slaa atakuwa shoka kwa Hawara wake aliyemnadi Dar wakti wa kampeni,eti mapadri hawaoi vip Slaa kapata Hawara then akatuchafulie Ikulu na Hawara,mmh
aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, mi naona we sio mwana JF wa kweli bali ni kinyamkera tu uliyekuja huku ukiwa hujui umekuja kufanya nini.
 
Unajua mtu ukiwa nje ya uwanja unaweza kumkosoa professional player, wakati wewe hata ngazi ya kijiji hujawahi cheza, lakini unavyokuwa unawashawishi hadhira kweli wanakuona duu jamaa unajua mpira.

JK kama kweli anataka upinzani usiwe na nguvu mwaka 2015 na wananchi warudi walikotoka, namshauri afanye hivi.

1. Waziri Mkuu Slaa
2. Waziri wa fedha Mbowe
3.Waziri wa mambo ya ndani- Zitto.
 
{Kwa vile JK ni kichwa cha panzi kamwe hatapenda mtu mwenye upeo kama wa Dr wa ukweli Wilbrod Slaa awe bungeni kwani yeye na serikali yake ya vilaza hawana uwezo kujibu hoja zilizokwenda shule za Dr Slaa. )

Jamani mumemchoka JK Kkihivyooooooooooooooooooooo,ila habari ndo iyo ngoma mpaka 2015 kuachia usukani wenye ulcers naona zitaongezeka
 
Hatuhitaji mipasho na matusi ndani ya jamvi. Hapa sio kijiwe cha wahuni wala Wanaccm wasio na upeo km uongozi wa ccm kukumbatia mafisadi na kutumia hela yetu waliyochota ili wachakachue matokeo ya uchaguzi kisha watwae uongozi wa nchi hii. tunahitaji hoja na maada nzuri za jinsi gani tutalikomboa Taifa letu.
 
Humu ndani ya forum wengine ni wehu, eti slaa awe spika, spika lazime awe mwanasheria kaka, theology na uspika wapi na where? sisi sote humu tulifanikiwa kufukuza wanaccm ktk forum leo mwanamapinduzi kashinda wanarudi eti matusi, na walioita wenzao kokoto hawaku2kana? African politics are in a form of adversarial men ndio maana wanatumia kila mbinu ikiwa kuwekana uchi ili washinde, lakini tuwe macho bila yale matusi usemakweli leo tungekuwa na jimbo la temeke, kweli akili nyingi huondoa maarifa

Kwa hayo maandishi yenye rangi nyekundu, Mwehu mwenyewe. Hujui hata historia ya bunge letu!!!??? Hivi wajua kuwa toka bunge limeanza mwanasheria aliyewahi kushika cheo cha uspika na hata unaibu spika ni mmoja tu??
 
Unajua mtu ukiwa nje ya uwanja unaweza kumkosoa professional player, wakati wewe hata ngazi ya kijiji hujawahi cheza, lakini unavyokuwa unawashawishi hadhira kweli wanakuona duu jamaa unajua mpira.

JK kama kweli anataka upinzani usiwe na nguvu mwaka 2015 na wananchi warudi walikotoka, namshauri afanye hivi.

1. Waziri Mkuu Slaa
2. Waziri wa fedha Mbowe
3.Waziri wa mambo ya ndani- Zitto.

Hawezi kumpa upm Slaa unless zitokee vurugu kama za Kenya kisha kamati ya usuluhishi ipendekeze serikali ya umoja wa kitaifa.Unafikiri kwanini hakumpa upm Magufuli hata baada ya kushauriwa sana na Mkapa?Mwenyewe anajua pia kuicheza siasa na anajua akifanya hivi atamzidishia umaarufu Slaa manake Slaa atamfunika vibaya sana kiutendaji.
 
Hatuhitaji mipasho na matusi ndani ya jamvi. Hapa sio kijiwe cha wahuni wala Wanaccm wasio na upeo km uongozi wa ccm kukumbatia mafisadi na kutumia hela yetu waliyochota ili wachakachue matokeo ya uchaguzi kisha watwae uongozi wa nchi hii. tunahitaji hoja na maada nzuri za jinsi gani tutalikomboa Taifa letu.

Kulikomba taifa kutoka wapi?
 
Wanabodi,
Pamoja na mimi kukubali sio Sheikh Yahya, lakini Dr. Slaa ataingia bungeni hivi karibuni kwa njia mbili kuu.

1. Kuteuliwa na JK.
Pamoja na JK kuwa ni mtu wa visasi, lakini waungwana watamshauri amteue Dr. Slaa katika zile nafasi zake kumi za uteuzi kama alivyofanya Hamad Rashid, na juzi juzi kwa Ismail Jussa. The only argument itakamfanya msimteue ni kuwa Dr. Slaa ni shoka, shoka kweli, au upanga wa makali kuwili, kwa vile alikuwa mwimba mchungu kwa serikali ya CCM akiwa na Zitto, tuu, sasa kaongeza nguvu ya kina Freeman, JJ.Mnyika na Tundu Lissu na hao wengine kibao akiwemo, Sugu, hivyo akijiunga na timu hiyo, huo moto wao bungeni nani ataweza kuuzima, itakuwa ndio kujimba kabisa kaburi la CCM, 2015!

2. Kuteuliwa na Mungu!.
Wale wapenda mema wote na wapenda mageuzi na demokrasia ya kweli ndani ya bunge, wangependa kumuona Dr. Slaa akirudi bungeni, this time akiwa ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali na na Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Hivyo sala zao zitasikiliza na Mungu baba atafanya mambo yake muda sii mrefu, Dr atarejea bungeni kama mbunge wa kuchaguliwa kupitia jimbo jingine lolote litakalobaki wazi muda sii mrefu kutoka sasa!.

Chama cha walokole kinaendeshwa na maombi sio sera, tumsubiri mungu wao amteuwe mchungaji Slaa kuwa president wa Tanzania. Nadhani Ikulu itabadilishwa kanisa!!
 
Kama kweli Slaa kakomaa kisiasa hangethubutu kumnadi Kikwete kama gaidi na kuwakose heshma hata wazazi wake,Muungwana akiudhiwa hutabasamu,huyu ndio kiongozi,sio Slaa kutabasam hana ila majungu na fitna tu,je siasa nikutuka wazazi wamwenzako? Slaa atakuwa shoka kwa Hawara wake aliyemnadi Dar wakti wa kampeni,eti mapadri hawaoi vip Slaa kapata Hawara then akatuchafulie Ikulu na Hawara,mmh

Wewe wacha chuki zako zenye mtazamo wa kidini, Huyo JK wenu ni gaidi kweli ni mdini na ni mtu wa visasi , na kama ni suala la vimada yeye ana jopo la vimada kila kona , na wanagharamiwa kwa kodi zetu.Na sasa kapata kipindi cha mwisho wakristo wakae chonjo maana huyu mjahidina JK alikuwa anaficha makucha yake ya udini kwa vile alikuwa anahitaji kuungwa mkono na wakristo kupata kipindi cha pili.
 
Kama Jakaya atafanikiwa kupata hiyo miaka mingine mitano atajaribu kutaka kujenga REGACY ya presidency yake na sintaona ajabu kama atamteua DR. kuwa mbunge baada ya kushauriwa na wazee wa busara; na siku hizi anasikiliza ushauri ama sivyo asingemkubali Bilali kama mgombea mwenza safari hii. Pia Jakaya anaziwinda sana zile hela za Tuzo ya MO IBRAHIM kwa hiyo this time around nadhani atakuwa mtu tofauti na hapo awali. Tungoje tuone yote yanawezekana!!

REGACY oooohh you mean LEGACY ???
 
Kama kweli Slaa kakomaa kisiasa hangethubutu kumnadi Kikwete kama gaidi na kuwakose heshma hata wazazi wake,Muungwana akiudhiwa hutabasamu,huyu ndio kiongozi,sio Slaa kutabasam hana ila majungu na fitna tu,je siasa nikutuka wazazi wamwenzako? Slaa atakuwa shoka kwa Hawara wake aliyemnadi Dar wakti wa kampeni,eti mapadri hawaoi vip Slaa kapata Hawara then akatuchafulie Ikulu na Hawara,mmh

Acha kuleta za udini hapa na kubehua watu wa dini au madhehebu yasiyo yako bwana. Jifunze kutumia hekima pasipo kutanguliza hisia zako. Ati Hawara? C'mmon! sasa huyo hawara umempa wewe? Ati Ma-Padre hawaoi? Yeye Slaa alishawahi kumsikia akijinadi kuwa bado ni Padre? Kama hujui kitu uliza ndugu yangu hii ni forum ya 'Great thinkers' na uta eleweshwa mambo madogo na makubwa usiyo yajua.
 
Kama kuna ushauri ambao ninatamani hata nilie ili ueleweke, ni kuwa Slaa asiende bungeni. tunamhitaji huku mitaani, atusaidie kuijenga CHADEMA...
 
Wanabodi,
Pamoja na mimi kukubali sio Sheikh Yahya, lakini Dr. Slaa ataingia bungeni hivi karibuni kwa njia mbili kuu.

1. Kuteuliwa na JK.
Pamoja na JK kuwa ni mtu wa visasi, lakini waungwana watamshauri amteue Dr. Slaa katika zile nafasi zake kumi za uteuzi kama alivyofanya Hamad Rashid, na juzi juzi kwa Ismail Jussa. The only argument itakamfanya msimteue ni kuwa Dr. Slaa ni shoka, shoka kweli, au upanga wa makali kuwili, kwa vile alikuwa mwimba mchungu kwa serikali ya CCM akiwa na Zitto, tuu, sasa kaongeza nguvu ya kina Freeman, JJ.Mnyika na Tundu Lissu na hao wengine kibao akiwemo, Sugu, hivyo akijiunga na timu hiyo, huo moto wao bungeni nani ataweza kuuzima, itakuwa ndio kujimba kabisa kaburi la CCM, 2015!

2. Kuteuliwa na Mungu!.
Wale wapenda mema wote na wapenda mageuzi na demokrasia ya kweli ndani ya bunge, wangependa kumuona Dr. Slaa akirudi bungeni, this time akiwa ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali na na Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Hivyo sala zao zitasikiliza na Mungu baba atafanya mambo yake muda sii mrefu, Dr atarejea bungeni kama mbunge wa kuchaguliwa kupitia jimbo jingine lolote litakalobaki wazi muda sii mrefu kutoka sasa!.

I was thinking the same as in number 1. Lakini baada ya kutoa shutuma za kwenye vikao vya kahawa juu ya kuhusika eti kwa JK na wengine kupanga njama za kuiba kura huko Mwanza na kuchochea vurugu kenye nchi. Slaa ni mtu hatari mno kwa mustakbali wa nchi yetu...ameweka mbele ubinafsi tu. Hatufai hata kidogo. Asahau kuteuliwa na JK na prospects zozote. Yeye asubiri sh. milioni 12 alizoahidiwa kulipwa kila mwezi na CHADEMA kwa ku sucrifice ubunge wake.
 
Kurudi bungeni ana weza kurudi hata kwa nafasi za kuteuliwa ambazo Chadema wata kuwa nazo. Swala siyo kama ana weza kurudi ama la. Swala ni kwamba je arudi? Au akazanie kuimarisha chama? Uamuzi wowote una takiwa kuwa wake biafsi ila siyo mbaya tuka jadili nafasi ipi Dk. Slaa anaweza kuchukua ambayo itamfaa zaidi na kunufaisha taifa zaidi.

Kwenye thread moja mkuu Rev. Kishoka alitoa suggestion kwamba Dk. Slaa ndiyo awe mweyekiti mpya wa Chadema na Freeman Mbowe ajiulzulu nafasi hiyo na kubaki na ubunge. I agree with the Rev. Mh. Slaa ana faa zaidi kuwa mwenyekiti wa Chamdema na nina sababu kuu kwa nini naona hivyo.

1. Nafasi ya mwenyekiti nfiyo sura ya chama. Mtu yoyoye akiwa mwenyekiti yeye ndiyo moja kwa moja anakua sura wa chama chake sawa sawa na raisi anavyo kuwa sura ya serikali nzima. Ukweli ni kwamba Slaa ni more charismatic na ana kubalika zaidi ya Mbowe. Tumeona kwenye uchaguzi huu kwamba pamoja na Mbowe kuwa mwenyekiti wa chama alikua na effect ndogo sana ktk kumnadi mgombea wao.

2. Kwa sababu Slaa ana mvuto zaidi ni wakati wa kucapitalize umaarufu alio nao Slaa. Kama mwenyekiti wa chama anaweza kutumika kuvuta zaidi wanachama wapya na kunadi sera za chama. Yeye ndiye awe sumaku ya chama.

3. Slaa ana hulka ya uongozi zaidi. Ana ile presence.

Lakini haya ni maoni yangu tu. Kama nilivyo sema ni juu ya Slaa mwenyewe kuchagua ni nafasi gani ambayo anaona sasa anastahli kucheza ila kama mwenyekiti nitamkubali sana.

MwanaFA kabla sijatoa maoni yangu naomba nikurekebishe kuwa Slaa hawezi kuteuliwa na chama chake. CHADEMA itakuwa na uwezo wa kuteua wabunge wanawake tu.

Pili, kwa upande wangu sidhani kama Slaa anatakiwa kuachia ukatibu mkuu wa chama. Katibu mkuu ndiye mtendaji mkuu wa chama, nafasi ambayo Slaa ameimudu kwa umahiri mkubwa, pamoja na challenges alizokumbana nazo.

Tatu, Mbowe bado ana sifa kubwa ya kuwa mwenyekiti wa chama at least kwa sasa. Kumbuka kwa chama ambacho hakitawali, ni very rare kwa mwenyekiti kuwa conspicuous kwani mambo mengi ni ya kiutendaji zaidi. Mwenyekiti anatakiwa kuwa mtu mwenye haiba ya ushawishi, sifa ambayo Mbowe amejaaliwa (fikiria alikoitoa CHADEMA kabla ya uchaguzi wa 2005)

Nne, kwa sasa kama slaa akiachia ukatibu mkuu, hakuna mtu miongoni mwa wenye ushawishi CHADEMA, ambye ataweza kuiziba nafasi hiyo muhimu, angalau tuangalie baada ya uchaguzi, vichwa vipya vilivyoibuka, kunaweza kukawa na ambao, baada ya kuwa na umaarufu wataweza kuihimili hiyo nafasi.

Tano, kwa idadi ya wabunge itakayokuwa nao mwaka huu, CHADEMA itakuwa inapata ruzuku kubwa zaidi. Unajua kuwa kwenye pesa, mafarakano hayakosekani. Anahitajika mtu imara na muadilifu kusimamia matumizi ya fedha za chama, na nadhani Slaa, akiwa kama katibu, ndiye muafaka kwa kazi hiyo...

ahsante
 
Hata nje ya bunge Dr.Slaa atatetea watanzania na kukijenga Chama chake.Hata hivyo nguvu ya umma itampa uongozi katika nchi hii.
 
Back
Top Bottom